Home
Unlabelled
mtaka cha uvunguni....inua tanda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sijaielewa hii picture kwa kweli, nadhani ilihitaji maelezo kiduchu. Inavutia kutazama ila sijapata chochote kwa kweli. kwa nini wale watumao picha na post nyingine wasifikirie audience/readers kwa upana zaidi? Someone help plse!?
ReplyDeleteMdau hapo juu, ni kwamba inaonesha kwamba katika hiyo nchi kumiliki ngamia ni kitu cha kifahari flani hivi. Sana jamaa kaifanyia maujanja baiskeli yake kisha katoa kitu kama ngamia vile ili aweze nae kuonekana bab kubwa!
ReplyDeleteNi ubunifu flani hivi ila sio vp inazingua kiaina
Ni mzungu kapata tan ya nguvu jangwani? mtu katengeneza mfano wa ngamia juu ya baiskeli na kufanya usafiri ? au? au.. au? mwee mbona mwatuchangaya wajameni?
ReplyDeletekuku kapanda baiskeli bata kavaa laizoni.
ReplyDeletemdau wa kwanza nakuunga mkono
ReplyDeleteNyie wadau mnaotaka maelezo acheni uvvivu wa kufikiri ebo! wekeni tafsri au maelezo yeyote kulingana na bongo zenu za ndege zinavyowatuma.
ReplyDeletepedari mbona sizioni? akitaka kupanda anapandaje au anashikiriwa?
ReplyDeletecreative minds always get it right
ReplyDeleteEbwanaee jamaa nimemkubali,ila akitaka kupanda au kupaki uo usafiri atafanyaje sasa?
ReplyDeletePia inaonekana miguu ipo juu sana kutoka ardhini,sasa kama akiwa kwenye foleni atawekaje miguu chini?(usafiri spesho kwa jangwani tu?)
Au itabidi akokote,ha ha ha...
Potz.