Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Sijaielewa hii picture kwa kweli, nadhani ilihitaji maelezo kiduchu. Inavutia kutazama ila sijapata chochote kwa kweli. kwa nini wale watumao picha na post nyingine wasifikirie audience/readers kwa upana zaidi? Someone help plse!?

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu, ni kwamba inaonesha kwamba katika hiyo nchi kumiliki ngamia ni kitu cha kifahari flani hivi. Sana jamaa kaifanyia maujanja baiskeli yake kisha katoa kitu kama ngamia vile ili aweze nae kuonekana bab kubwa!
    Ni ubunifu flani hivi ila sio vp inazingua kiaina

    ReplyDelete
  3. Ni mzungu kapata tan ya nguvu jangwani? mtu katengeneza mfano wa ngamia juu ya baiskeli na kufanya usafiri ? au? au.. au? mwee mbona mwatuchangaya wajameni?

    ReplyDelete
  4. kuku kapanda baiskeli bata kavaa laizoni.

    ReplyDelete
  5. mdau wa kwanza nakuunga mkono

    ReplyDelete
  6. Nyie wadau mnaotaka maelezo acheni uvvivu wa kufikiri ebo! wekeni tafsri au maelezo yeyote kulingana na bongo zenu za ndege zinavyowatuma.

    ReplyDelete
  7. afande midakoApril 29, 2009

    pedari mbona sizioni? akitaka kupanda anapandaje au anashikiriwa?

    ReplyDelete
  8. creative minds always get it right

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 01, 2009

    Ebwanaee jamaa nimemkubali,ila akitaka kupanda au kupaki uo usafiri atafanyaje sasa?
    Pia inaonekana miguu ipo juu sana kutoka ardhini,sasa kama akiwa kwenye foleni atawekaje miguu chini?(usafiri spesho kwa jangwani tu?)
    Au itabidi akokote,ha ha ha...

    Potz.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...