Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gwaride wakati alipofunga mafunzo
ya awali ya askari polisi kwenye Chuo cha Polisi cha Moshi (CCP). Chini Askari Polisi wakitoa heshima kwa mgeni rasmi Waziri Mkuu Mizengo Pinda katikagwaride la kufunga mafunzo ya awali ya polisi lililofanyika kwenye chuo chapolisi cha Moshi (CCP)



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyu askari gani mfupi hivi nyuma ya waziri, ni bodigadi wake nini?

    ReplyDelete
  2. Jamaa wamekonda/wamechoka vibaya mno lakini ndo inaonyesha wamesokotwa hasa.

    Hapo wape kazi ya mbio siku tano bila mapumziko wamo.

    ReplyDelete
  3. Wanoko hao waja.

    ReplyDelete
  4. Paredi kamanda kavaa kofia kinoko mno, hawezi kuangalia mita mia.

    ReplyDelete
  5. kulikoni mtoto wa mkulima,prime minister, kila mara anaonekana ana mawazo sana?

    ReplyDelete
  6. Waziri kanuna kuzidi maafande.

    ReplyDelete
  7. Kwenye kununa tu!!!!! mpaka mafande wanaogopa! TEHTEH!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...