Allan Kalinga takes saga rhumba family back to memory lane with one of the 90's hits "Top Queen" written by Shomary Ally. The original vocals were Jerry Nashon "Dudumizi", Freddy Benjamin, Mohamed and others. Also starring Banana Zorro of B Band and  Shaka  Shakashia of Twanga Pepeta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Finally...umeamua kufanya kweli...hongera mkuu kipaji unacho.

    ReplyDelete
  2. Kwa watu ambao sio prof actors kwenye video, mmejitahidi sana. Well done

    ReplyDelete
  3. Mziki mtamu ,,unanikumbusha enzi za kina Jerry Nashon wakati huo saga rumba ..

    ReplyDelete
  4. eh bwanae hii kabla mambo ya mkono au?mbona hukunijulisha mie fundi sana wa kurapu ndugu yangu,Manchester patakuwa hapatoshi baada ya kikao.halafu umemsahau Gardol kwenye kupuliza midomo ya bata si unajua miziki ya zamani!

    ReplyDelete
  5. Safi kuzisanifu nyimbo za zamani katika teknohama ya kisasa, maana nyimbo zingine kama 'unanichoma mkuki moyoni'-safari trippers , 'hamida'-nuta/juwata, 'harusi'-afro70, 'mpaka manga'-orch safari sound, 'mambo bado'-makassy n.k inabidi wazee wazima wakubali vitu hivyo virudiwe ktk teknohama ya sasa.

    Kazi nzuri Hartman production.

    ReplyDelete
  6. Kaka nimekubali,naomba uje huku Birmigham ututumbize na hii midindo,Hope hapa watu watajua wewe si wa matani kipaji ni chako.
    Thanks for ur tune. Salimia Gado
    Frank (Birmigham)

    ReplyDelete
  7. HONGERA HONGERA SANA ALAN!!!UMENIKUMBUSHA ENZI ZAKO ZA MKONGE TANGA BADO UNAKIPAJI WANGU MUZIKI UMETULIA SANA MUNGU AKUBARIKI NA FAMILIA YAKO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...