JK na Marais Paul Kagame wa Rwanda na Mh.  Mwai Kibaki wa  Kenya wakizindua rasmi ujenzi wa barabara ya Arusha-Namanga-Athi river Road  huko Lengijabe nje ya  Arusha jioni jana


Toka shoto ni Balozi wa Japan nchini  Makoto Ito, Rais  Pirre Nkurunzinza wa  Burundi, JK, Rais  Paul Kagame wa Rwanda, Rais  Mwai Kibaki  wa  Kenya, Rais Yoweri Kaguta Museveni  wa  Uganda,  Rais wa African Development Bank Donald Kaberuka na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi  Juma Mwapachu katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa barabara hiyo ambayo ni mwanzo wa juhudi wa kuunganisha miundombinu ya  nchi za jumuiya hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. JK na izo suruari na suti?????

    tudumishe east afrika isiyo na chokochoko la ardhi,citizen ID,employment nk

    ethiopia,eritrea,DRC congo,na nini ile nchi nimesahau,nao wanafikiriwa baadae ktk mujiunga na EA

    aya

    ReplyDelete
  2. Ndgu Mwanakijiji:
    **
    Nadhani hiyo posti ni yako, na ningependa kukuuliza swali au maswali machache, kwani umelileta swala la Mashaka katika muda muafaka.

    Wewe mwenyewe kama mwandishi wa Habari, kuna matukio mengi tu ya kitaifa mema na mabaya ambayo yametendeka katika nchi yetu.

    Mimi binafsi umenihoji na jina sitataja, ila napenda kukuuliza swali au maswali machache?

    1.Je ni lini umejitokeza ukaipongeza serikali ya Tanzania kwa mema ambayo imeyatenda.

    Hili swali linatokana na ukweli kwamba, kila mara unapowahoji viongozi wa nchi yetu umekuwa ni mtu wa kulalamika, hili baya na lil baya.Haujatoa pongezi hata siku moja

    Hebu tupe suluhisho ya haya matatizo unayoyafuatilia bila kutoa suluhisho?

    2. Ni lini umekuja nchini Tanzania ukajionea hali halisi ya mambo. Wewe unatupigia parapanda na mazuri unayoyataka wakati unakula kuku kwa mrija, unadhani nani atakutilia maanani?

    3. Mpaka wa leo hatukuji jina, na kampuni yako imesajiliwa na nani, viongozi wake ni wakina nani na wako wapi?

    4. Unasambaza jarida la cheche bure, ina maana ya kwamba kuna mtu anayeilipia gharama za uchapishaji wake. Tunaomba kuwajua hao wadhamini wako.

    5. Kuna tetesi kwamba hivi karibuni kiongozi mmoja alikuja na kitika kikubwa sana na mkakutana naye, je hizi habari unazipokea vipi?

    Ndugu mwanakijiji, nadhani muda umefika kuwavalia njuga watu wanaoturubuni na kutuona kama daraja la kuvukia umasikini. Naomba uyajibu hayo maswali kwa unyenyekevu.

    Hon:MP

    ReplyDelete
  3. Who's Mu7 stylist.The Dude still living in old days,try 19kweusi

    ReplyDelete
  4. Ufunguzi wa barabara karibuni, lakini siyo kuchukua ardhi, ajira au kukatiza mipaka tuuu bila papers. Watch out!............

    ReplyDelete
  5. enzi zetu za ujana ,suti ya muungwana,JK, ilikuwa ikiitwa DONGEAAA! au mixed grill..nadra sawa kuzipata super market au madukani
    sijui cku hizi mnaiitaje!

    ReplyDelete
  6. kala blazer ya nguvu, kwani kila saa lazima mtu umechishe juu mpaka chini kama xmas tree we vipi?
    Changia mambo muhimu sio nguonguo

    ReplyDelete
  7. Hiyo inaitwa colors combination sio kuvaa sutii tuu big up JK

    ReplyDelete
  8. That's not SUIT. Suit ni lazima suruali na koti lake viwe na rangi/kitambaa kimoja. anajaribu kuiga lakini anakosea, wakati kama huo ni wa kuvaa business suit kama wenzake. Aombe ushauri kwa mzee kibaki hapo. Makoti yenye metallic buttons sio ya business suit ni kwa ajili ya some groups/organizations. anaonekana kama some kind of an exhibition officer kwenye museum!

    ReplyDelete
  9. hahahahaaaa JK na nguo zake

    wakati huu tunaziita x-mas tree au kachumbali

    ni kweli annon lazima aulize wapi avae nini kabisa,yan apo kama uyoga ivi stand-alone!!khaaaaa

    ni ayo

    ReplyDelete
  10. shame on you msiojua kuvaa ile aliyovaa JK ni blazer na suruali na sio suti na iko business oriented hasa formal occasions poleni msiojua,big up JK nakufagiliaa

    ReplyDelete
  11. alichovaa Mu7 ni unique kwake na hiyo ndio identity yake haiendani na vazi la suti lakini ni choice yake,don't you have anything to comment instead of what they have chose to wear?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...