Ni Siku ya furaha kwa wadau wote wa Man Utd aka The Red Devils, Leo wametwaa ubingwa wa Premier League kwa kutoka sale (0-0) na Arsenal. Habari kamili hapa.


Pole Michu, Mose, Hanui, Alex na wadau wote wa pale Arsenal, LiverPool, Chelsea na wadau wengineo kibao.

Muendelee na Ndoto msimu mwingine unakuja.


AAHHHHHHHHHHHAAH.

Man U Fan.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2009

    Michu umebana umeachia, kilichokufanya uchukue masaa saba kuweka hii ni nini hasa?, au maumivu ya kulikosa, nyie endelezeni 4X4XFew sisi sasa tunajiandaa na barca.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2009

    Job done! Thanks to good FA fixture and some poor decisions by some referees.
    Hongera pia kwa Livapul kwa ukomavu wenu,Chelski kwa kuzinduka kwenu, na Arsenal kwa kutuburudisha na soka yenu ya kugusa kusa

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2009

    Glory Glory UNITED,ha ha ha ha ha ha!!

    Mkulima-Kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2009

    Nani kama Man U?Hakunaaaa!
    We are the best!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2009

    Wamefuata nyayo za Yanga.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2009

    sawa mdau wa ukerewe msimu huu wako, sisi twala kwa macho ati, subiri msimu ujao.twaja kukufunga.

    ReplyDelete
  7. Baba UbayaMay 17, 2009

    hongera Man United.u deserved it baada ya sie Bwawa la Maini kusinzia.wenzetu wanasema "you snooze,you loose".ila tumejifunza kutokana na makosa.si unajua tena mambo ya "kuku mgeni".

    "Liverpool Milele"

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 17, 2009

    Hongera Man U japo tunajua kwamba jinamizi la 4 x 4 litaendelea kuwasumbua kila mkiliangalia kombe hilo. Bao nne mbele ya mashabiki wenu nyumbani sio mchezo, ingekuwa Yanga bakora zingetembea kweli kweli.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 17, 2009

    Wacheni nyinyi wapata leo - mlikuwa mateka wa Liverpool miaka mingi sana- tokea 67 mpaka 93 ndio mkaja mkapata ubingwa. Kwa hiyo nyinyi ni limbukeni tu. Na pia kumbuka 2-1 na 4-1 - si inaumiza hiyo. Sasa ubingwa una faida gani wakati mmeshashughulikiwa mara mbili. Najuwa ubingwa mmechukuwa lakini kipigo mmekipata nyinyi mlioanza kufungua TV na kuona Manchester United inacheza. Maanake Liverpool ni Master wenu hata mfanye nini. YOU WILL NEVER WALK ALONE. ACHENI WIVU NA VILE ALIVYOVIFANYA LIVERPOOL. TUNAJUWA MARA NGAPI MMEFUNGA MAGOLI DAKIKA ZA MWISHO - REFA ALIELIKATAA GOLI LA LIVERPOOL DHIDI YA STOKE CITY AKAZICHUKUWA POINTI ZETU MBILI BURE. WACHEZAJI WENU NI MA ACTOR WAKUBWA KULIKO WA MICHEZO YA KUIGIZA. KUJIANGUSHA NA KUPAA PENALTI NA FREE KICK ZA BURE. KWA HIYO NYAMAZENI NYIE MLIOKUWA HMNA HISTORIA.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 17, 2009

    Pamoja na kufuata nyayo ya Yanga, Man U haikamati UK,
    Yaani raha tu,
    Mdau,Tabata Kisukuru

    ReplyDelete
  11. SINGAPOREMay 17, 2009

    mwali wa tatu huyoooooo......
    tumeshatuma barua ya posa catalan ndoa ya nne ya msimu inatarajia kunyika may 28.
    nyote mnakaribishwa...!

    majibu kwa wasiofika
    mwenyekiti WENGER, BENITEZ NA HIDDINK kutokana na sababu zinazoeleweka

    shukran, SINGAPORE

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 17, 2009

    Mabingwa gani hao wanaongoza kwa magoli ya penati?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 17, 2009

    Historia Historia.Kwenye hiyo miaka ya zamani basi Leeds alikuwa bingwa,Derby,Nottingham,Man City.Aston Villa,Wolves,Sheffield United,Sunderland,Blackburn,Everton leo wapo wapi???Ni mabingwa???Kujidai na historia ni kujifariji.Tokea 1991 hujachukua ubingwa bado unasimama na kutamba.Kufungwa kwenye mechi ni jambo la kawaida.Kuifunga Manchester United hara Fulham alitufunga na Arsenal pia leo wamekuwa mabingwa.Akili yenu kama ya timu moja ya Tanzania ilikuwa inapania kuifinga Yanga tu mpaka nusura ishuke daraja.Tukirudi kwenye historia hata Cosmo bado wanakumbuka Historia na Pan.Miaka 18 hujachukua ubingwa unalalama na historia.Villa Squad alimfunga Yanga goili 5 kashuka daraja.Kagera naye naye ana historia yake kaifunga Yanga.Mechi za Man na Liverpool ni pointi 6 tu wacha ujinga.Inatakiwa ushinde mechi nyingi kuwa Bingwa.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 17, 2009

    Duh, kweli wanalo linawakoboa roho na limewaganda ma looserpool...

    Yani mtu kaamua kujifariji na historia, ambayo ubingwa wa mwisho 1991. Hivi unajua Mchezaji kama Macheda tangu azaliwe mpaka leo anachezea Man u, Liverpool hawajashinda ligi. Endeleeni kulilia historia iwapooze machungu,,,, mnalo hilo limewaganda rohoni.

    (YNWA)YOU WILL NEVER WIN ANYTHING

    MICHUZI USIIBANIE COMMENT

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 18, 2009

    MDAU WA 7:20 UNAONEKANA WE NI MZANZIBAR ULIOPITWA NA WAKATI KWELI.
    NENDA KWENYE PL OPTA PENALTIES UONE TIMU GANI INAONGOZA KWA KUPEWA PENALTIES.
    CHECK PLAYERS RED CARD OPTAS HALAFU ANGALIA SOURCES UONE NANI ANAONGOZA KWA KUSABABISHA WACHEZAJI WENZAKE KUPEWA RED CARD (ALONSO WA LOOSERPOOL 7 PLAYERS)
    BONYEZA KWENYE FOULS KARIBU NA 18 YARDS UONE TIMU GANI INAONGOZA KWA KUPEWA ZAWADI HIYO.

    TUKIRUDI KWENYE HISTORY, MAN U IMEWEKA HISTORI YA LIGI NGUMU NA INAYOSHIRIKISHA TIMU NYINGI NA SIYO 12 KAMA LIVERPOOL ILIVYOKUWA IKITWAA UBINGWA ENZI YA MKOLONI.

    MAN U IMTWAA UBINGWA MARA 11 KATI YA 18 HUKU IKICHUANA NA VIGOGO VITANO VYA LIGI NA SIYO ENZI HIZO ZA MKOLONI MLIPOKUWA MKIYTAMBA.

    MAN U HUCHUKUA VIKOMBE VENYE TUZO NA THAMANI NA ZAWADI KUBWA NA SIYO ENZI HIZO MSHINDI HUONDOKA NA BOX LA CHOKOLATE NA PIPI ZA KIFUA!

    KWA HIYO UKIFUNGUA MDOMO WAKO WA CUF, ANGALIA UNAZUNGUMZIA TAIFA KUBWA...MAN U. MWAKA HUU MMESIKIKA KWA VILE MPO MKIANI LAKINI MIAKA YOTE 17 ILIYOPITA, HAKUNA MTU ALIYEKUWA ANAJUA KAMA KUNA TIMU INAITWA LOOSERPOOL.

    HISTORY NYINGINE ON THE MAKING IPO MBIONI. KUWAPIGA TEKI.

    HAPO NDIPO UJUE KLABU YENU ILIKUWA MABINGWA ENZI ZA UKOLONI. MLIKUWA WAPI SIKU ZOTE MAN U ILIPOANZA KUIFUKUZIA REKODI YENU HADI KUWAFIKIA...MMEOZA KWELI. NENDA KALE BOFLO ULALE

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 18, 2009

    BABA HII ILIKUWA BREAKING NYUUUUUZ YETU HUKU UGHAIBUNI. WATU HUJIKAZA NA WAMETUWEKEA LAIVU KWENYE CHANNELS ZA HABARI IE SKY NEWS, BBC NEWS 24 HUKU SPORTS CHANNELS ZOTE ZILITAWALIWA NA MAN U.

    BLOG YA JAMIII AKAAAAAA KAMA CHUMVI YA UNGA ILIYOINGIA KWENYE KIDONDA AU PILIPILI MBUZI KUINGIA JICHONI. UNAZI WAKO BABA MBAYA...

    CATAPULT

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 18, 2009

    Hapa leo ingekuwa liverpool blog nzima ingejaaa mapicha ya scoucers. mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. tumewekewa picha saba za kibaka lakini ya mnyonge moja tu kama dawa.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 18, 2009

    Mjomba ni ujinga kuikumbatia Liverpool kama mabingwa, unawaona wale pale, wale ni benitez, wenger na hiddink wanapeana zamu ya kuifukuza Manchester United, kama tutaona hawafai fukuza wote na timu zao tuwape maksimo,Mziray na Kibaden kwani kuanza upya sio ujinga mjomba.

    Inauma sana Mjomba, inauma sana kwa arsenal kugawa ubingwa wa uingereza kwa man u. Nafasi ya kucheza fainali Ulaya yooote ni yao, ubingwa wa uingereza ohhh Fergie anataka kustaafu tumpe Kombe, inauma sana. Iyeee mjomba Iyeee (Michuzi endelea kuimba sasa). Mdau Mwakalebela

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 18, 2009

    Mh Michuzi kama ni mimi najitundika la sivyo hiyo timu unayoshabikia itakutia aibu ukose pakuweka uso….Wachezaji wake tatizo wanakata viuno mchezaji hatakiwi kuwa hivyo!!! NO…..Man Juuuuuu

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 18, 2009

    mwana michezo bora siku zote ana mpa pongezi mtu sio wewe hapo juu unaanza kujisifia na record za zamani.
    Nyinyi mtabaki na na roho ya kwanini tu jipeni moyo tu mwakani mtafanikiwa sisi yetu mach.
    MAN U 4LIFE.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 18, 2009

    Mdau 7:20. Mla mla leo bwana, mla jana.... Benitez na wewe mko sawa, eti Looserfools ni timu nzuri kuliko United ingawa ina point chache, akili hiyo? City alitufunga mara 2 mwaka jana, je aliishia wapi? Msilale mapema tarehe 27,angalieni mabingwa wa Dunia wanavyosakata kabumbu. Man Utd forever! Glory Glory Man Utd, keep it up!

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 21, 2009

    Roho yangu inathamani sana kuliko upumbavu anoufanya Wenga wa kuiumiza roho yangu. NASEMA SIWEZI KUIUMIZA ROHO YANGU YENYE THAMANI KWA TIMU YA KI**** KUANZIA LEO MIMI SIO ARSENAL!!!

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 21, 2009

    Mliokuwa mnaosha vinywa msimu mzima zile nguvu mlizokuwa mnatumia kuikandia ManUBINGWA si bora mngezitumia uzeeni zingewasaidia?? Mnaambiwa hamsikii goli nne sio kuchukua ubingwa!! Mkubwa wa kazi siku zote ni yule anayemaliza kazi kwa kukusanya vikombe!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...