gemu kati ya bongo united ya washington Dc na Houston iliyopigwa Jumamosi Washington DC. Matokeo yalikuwa 2-2 ambapo Houston wamekata rufaa kwa kuchezeshwa mechi ya soka kwenye uwanja wa raga ambao wanasema una mgongo kama wa nyamgumi na magoli kama midomo ya papa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2009

    hahahhaaaahahaahaha duh misupu hapo mbona kama mkwakwani stadium kule tanga????? wacha kutuyeyusha bwana michuzi bwana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2009

    Michuzi namba yako tayali,Kama uko tayari kubeba box nipigie najua namba yangu ya simu unayo.

    ReplyDelete
  3. Spain ioraMay 25, 2009

    Ok, Misupu.. Mambo ya konozz na Vakeshen ya huko "side B" yasitawale sana humu barazani yakaharibu mboga za huku "side A".. Tunaomba Matokeo ya BUSANDA.

    Spain iora.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 25, 2009

    wabongo bwana!
    Mi nilifikiri baada ya kukaa huku majuu kidogo mpira wenu utakuwa umetulia kama vile Ulaya, kumbe yale yale ya Simba na yanga nyumbani, yaani bora liende. hakuna formation/technic wala nini. Bora Michuzi usingeweka hii kitu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2009

    hii kali, mamabo ya nyangumi na papa yamefika hadi DC, hahaha

    kwa maana nyingine Houston wamefanyiwa ufisadi wa kandanda, hahaha

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 25, 2009

    HILO GOMA LINAITWA WENYE WIVU WAJINYONGE MPAKA WATEKETEE

    ReplyDelete
  7. it doez nt take 2 or 4 dayz to be a professional i will take time,,,to be a good players

    ReplyDelete
  8. it doez nt take 2 or 4 dayz to be a professional i will take time,,,to be a good players

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 25, 2009

    TECHNIC KTK MPIRA, au msamiati formation ni adui wa wachezaji wa kibongo. Tushazoea bora liendr .

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 25, 2009

    hii ni aibu na ufisadi wa hali ya juu.yani kwa kelele zote juu ya mpambano huo hao DC wameshindwa hata kulipa vijisenti kidogo ili wapate uwanja mzuri?
    hivi vitimu vya wabongo vya ughaibuni havina tofauti na mchangani.watu wako ng'ambo lkn mambo wanayofanya hayana mabadiliko.hahaha

    yani kwa kuwa ilikuwa ni holidai basi viwanja vingi vilikuwa havina matukio hivyo ilikuwa ni kulipia na mkacheza kwa kujinafasi.acheni kupenda vya BURE kila kukicha.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 26, 2009

    Kumbe jamaa wenyewe ngoma ugokoni.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 27, 2009

    mbona hizi timu za marekani hazielekei na sheria uwanja wa rugby unachezewa football,nilipokuwa nasikia marekani nikidhani kuwa kila kitu kipo up to date kumbe sivyo ndivyo!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...