gemu kati ya bongo united ya washington Dc na Houston iliyopigwa Jumamosi Washington DC. Matokeo yalikuwa 2-2 ambapo Houston wamekata rufaa kwa kuchezeshwa mechi ya soka kwenye uwanja wa raga ambao wanasema una mgongo kama wa nyamgumi na magoli kama midomo ya papa...
Home
Unlabelled
bongo united vs houston (video)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hahahhaaaahahaahaha duh misupu hapo mbona kama mkwakwani stadium kule tanga????? wacha kutuyeyusha bwana michuzi bwana.
ReplyDeleteMichuzi namba yako tayali,Kama uko tayari kubeba box nipigie najua namba yangu ya simu unayo.
ReplyDeleteOk, Misupu.. Mambo ya konozz na Vakeshen ya huko "side B" yasitawale sana humu barazani yakaharibu mboga za huku "side A".. Tunaomba Matokeo ya BUSANDA.
ReplyDeleteSpain iora.
wabongo bwana!
ReplyDeleteMi nilifikiri baada ya kukaa huku majuu kidogo mpira wenu utakuwa umetulia kama vile Ulaya, kumbe yale yale ya Simba na yanga nyumbani, yaani bora liende. hakuna formation/technic wala nini. Bora Michuzi usingeweka hii kitu.
hii kali, mamabo ya nyangumi na papa yamefika hadi DC, hahaha
ReplyDeletekwa maana nyingine Houston wamefanyiwa ufisadi wa kandanda, hahaha
HILO GOMA LINAITWA WENYE WIVU WAJINYONGE MPAKA WATEKETEE
ReplyDeleteit doez nt take 2 or 4 dayz to be a professional i will take time,,,to be a good players
ReplyDeleteit doez nt take 2 or 4 dayz to be a professional i will take time,,,to be a good players
ReplyDeleteTECHNIC KTK MPIRA, au msamiati formation ni adui wa wachezaji wa kibongo. Tushazoea bora liendr .
ReplyDeletehii ni aibu na ufisadi wa hali ya juu.yani kwa kelele zote juu ya mpambano huo hao DC wameshindwa hata kulipa vijisenti kidogo ili wapate uwanja mzuri?
ReplyDeletehivi vitimu vya wabongo vya ughaibuni havina tofauti na mchangani.watu wako ng'ambo lkn mambo wanayofanya hayana mabadiliko.hahaha
yani kwa kuwa ilikuwa ni holidai basi viwanja vingi vilikuwa havina matukio hivyo ilikuwa ni kulipia na mkacheza kwa kujinafasi.acheni kupenda vya BURE kila kukicha.
Kumbe jamaa wenyewe ngoma ugokoni.
ReplyDeletembona hizi timu za marekani hazielekei na sheria uwanja wa rugby unachezewa football,nilipokuwa nasikia marekani nikidhani kuwa kila kitu kipo up to date kumbe sivyo ndivyo!!!
ReplyDelete