
kwa niaba ya wadau wa globu ya jamii nachukua nafasi hii kukupongeza shamim zeze kwa kusherehekea vilivyo siku ya mama duniani ukiwa na iqra. kwa wasiomfahamu shamim zeze huyu ni dada wa shoka ambaye amekuwa akiendeleza libeneke la mitindo kwa muda mrefu sana na kuleta mapinduzi makubwa katika tasnia nzima ya globu. unaweza kumwita kungwi wa mabloga wanawake walioko bongo.
hongera sana shamim na endeleza libeneke. Picha kwa hisani kubwa kabisa ya
http://8020fashions.blogspot.com/


You are so beautiful; you even don't have the baby weight any more! Congratulation
ReplyDelete....keep it up gir :) :)
Another lady.
Hongera kwa mtoto..haya Mama hilo jina maana yake nini? Mie Mbantu sijui maana yake
ReplyDeletenaomba maan ya jina la mtoto. Iqra ninayojua mimi maana yake ni amri, yaani soma. just curious
ReplyDeleteUna blog ya fashion yenye visitors 1.37ml people!
ReplyDeleteU ar wonderful. You ar doing great.
You real da best lady and best female enterprenuer.
Mdada wa Moro kip it ap!
I love it-U ar so great
Majina mengine si ya kuwapa watoto..! Jina liafanana na Iraq, mambo gani hayo? Umekosa majina yote kwenye dictionary?
ReplyDeleteheeeee!!
ReplyDeletemakubwa aya
aya ngoja waosha vinywa
asante mama na mtoto
Both of u look wonderful mashallah mola awazidishie na umefanana sana na mwanao.Hongera...
ReplyDeletetafadhali kama hujui maana uliza maana,jina ni IQRA maana yake SOMA aliyempa jina anamtakia dua njema mwanae ya kusoma na kuelimika katika dunia ya leo sasa wewe hujui unafananisha na Iraq,what a shame ukiuliza unaelimika,na hili ni tatizo la waTZ uvilaza umezidi
ReplyDeletemmh,hongera wajina jamani.your baby is so cute.umependezaaaa
ReplyDeletemakubwa! majina ndo yanapatikana kwenye dictionary, kila mtu ana uhuru wa kumpa mtoto wake jina analolipenda hata akiitwa ubwabwa
ReplyDeleteSimply beautiful family! God bless.
ReplyDeleteumependeza sana msichana
ReplyDeletesafi sana,ndio mwanamke anatakiwa awe,ata ukishona kanga kistaili yan
wanaume tuna kazi
dah! unaita kinyamaaaaaa
Wewe hapo juu uko dunia ya ngapi wewe...Hebu usinifanye nikatapika...Hivi hilo jina halijakujulisha tu yeye ni dini gani?....Hebu kama hujui vipu nyamaza...Atafute jina ktka dictionary amekuambia yeye ni christian?....Utambue kuwa hiyo iqra Uislamu inamaana na yeye amejua maana ya jina hilo ndipo akampa mwanae jina...ACHAGA KUBWATA BWATA NA WEWE KM UMEAMSHWA USINGIZINI
ReplyDeletewanadamu wengine bwana utoto mwingi Dada yangu mashallah mwenyezimungu azidi kukujalia upate na mwengine na mtoto aende najina mwenyezimungu amjalie awe Imam mkubwa hapa nchini au kokote nje ya nchi yetu inshallah au awe chochote kizuri amuepushe kwenye mabaya amuweke kwenye mazuri inshallah Amin.
ReplyDeleteMtoto sio wenu mabishano kibao! Hata akimuita jina gani nyie kina wauma nini? Ushamba mtupu!!!
ReplyDeleteIQRA BISMI RABBIKA LLADHII KHALAK.
ReplyDeleteSOMA KWA JINA LA MOLA WAKO. Hilo ni jina kubwa na hiyo ni miongoni mwa aya katika Quran kwa hiyo acheni kuropoka ropoka msiyejua maana hilo jina nzuri na mtoto maashallah Mungu Amkuze salama Ameen.