Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2009

    Sio siri, katui za huyu jamaa huwa zinanivunja sana mbavu weekend ktk gazeti la nipashe. Bro Michu umechukua uamuzi wa busara sana kumuweka katika jukwaa hili. Keep it up brother Fadhili.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2009

    hahahhahaha hii kali, huyu mganga atakuwa bize sana 2010

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2009

    hahaahahaha kali sana uongozi wake umemsaidia kuwa na card ya CCM.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2009

    Michu ningependekeza hizi katuni iwe kwa siku moja tu, wakati mwengine zinakuwa mpaka 2 au 3, zinaondoa hamu ya kuzisoma kila mara na zitazoeleka

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 13, 2009

    Too much, punguza katuni hata kama ni mbaya!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 14, 2009

    kweli lakini naunga mkono Michuzi jaribu kuwa unaweka kila week mara mbili Jumatatu na Ijumaa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 14, 2009

    Mambo haya yako sana hasa Africa. Viongozi wengi bila kwenda kwa hawa wataruma wanaona bado hawatoshinda,ndio maana viongozi wengi wa Africa onyo hawajui hata kuongoza

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 14, 2009

    Haya jamaani hao ndio viongozi wa Africa, bila kwenda kwa wataruma bado. ndio maana hata kuongoza inavyotakiwa wanachemsha, kwa ajili y6a kusikiliza mengi ya wataruma.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 14, 2009

    aaaah jamani ee!! nyie kama hamna hobby na katuni msituondolee utamu bwana. mwaya michuzi uziwekege kila siku zinatuburudisha sana wengine!!!
    na kipanya vipi mbona umempiga kibuti??

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 14, 2009

    Kwanza Michu, ahsante sana kwa kuendeleza upashaji wa habari kwa njia za kisasa na za kibunifu zaidi KATUNI IKIWA MOJA WAPO,Pili huyu jamaa wa uswazi hakika anakuja juu,hongera sana mtu wangu!
    Kuhusu wadau waliochangia kwamba katuni zipunguzwe, mie binafsi sikubaliani nao, maana kila mtu anafarijika na jinsi ambavyoujumbe unafikishwa kwa jamii, kwanza njia ya katuni mbali na kuburudisha pia ni inapevusha uwezo wa kupambanua-"enhencement of critical thinking", so its more of educative,yaani katuni zina elimisha zaidi maana zinakuza bongo zetu, so hata zikiwa kila siku au kila dakika hakuna mbaya kabisa, HUU NI MTAZAMO WANGU TU!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 14, 2009

    Michuzi the Great man. asante kwa katuni naomba uwapuuizie hao wanaopendekeza katuni zipungue, tena ikiwezekana kama bado ile katuni ya "ZIRO" ipo ilete maana kuna ziro wengi tu humu wasiotaka kuelimishwa. MICHUZI KEEP IT UP

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 14, 2009

    Pole mdau usiopenda katuni. Hii blog haikulengi wewe au haipo kwaajili yako wewe peke yako. Inaonekana hata magazeti husomi? Kwenye gazeti sio kila page ni nzuri kwako,unasoma zile unazotaka unaachana nalo. Likwise TV, sio program zote wewe unaangalia unachagua unazopenda tu. Hata Radio unasikiliza program utakazo tu then unatune channel unayotaka. Wengine wanakuja kwenye blog kwaajili ya katuni tu,wengine story za siasa,wengine uchumi. Kaa utulie,ukiboreka fanya kitu kingine. Wewe ni nani mpaka uanze kumlazimisha mithupu afuate utakavyo wewe? Anzisha blog yako na usiweke katuni hata moja na kuna watu watasoma vile vile!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 14, 2009

    oya nyie hapo juu..katuni ni news ni sawa akiweka kila siku kwasababu kila siku kuna jambo jipya...acheni kulieta u-sosholisti..

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 14, 2009

    Nyie mnaosema katuni zipungue mbona hamsemi na picha za wachezaji wa mpira wa miguu zipungue,mie binafsi sina hobby kabisa na mpira na wala sijui hata jina la mwanampira mmoja zaidi ya Maximo,kaka Michuzi weka katuni hata kumi kwa siku tena mrudishe na Kipanya pia zinanifurahisha sana........

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 15, 2009

    Katuni ni sawa na nyuz zinaburudisha na zinaelemisha na hazihitaji muda mwingi kuzisoma kama news au feature, Michu endelea kuziposti asiyetaka kusoma aziruke. Huyu Viriyala na Kipanya wazuri lakini mbona unawaweka kwa nadra sana au wanalenga sana kunako?!
    Mdau-Mbagala a.k.a 'Baghdad'

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 15, 2009

    Watu wanashindwa kutofautisha katuni na mdoli, nadhani. Katuni safi sana!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...