Home
Unlabelled
dogo wa uswazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sio siri, katui za huyu jamaa huwa zinanivunja sana mbavu weekend ktk gazeti la nipashe. Bro Michu umechukua uamuzi wa busara sana kumuweka katika jukwaa hili. Keep it up brother Fadhili.
ReplyDeletehahahhahaha hii kali, huyu mganga atakuwa bize sana 2010
ReplyDeletehahaahahaha kali sana uongozi wake umemsaidia kuwa na card ya CCM.
ReplyDeleteMichu ningependekeza hizi katuni iwe kwa siku moja tu, wakati mwengine zinakuwa mpaka 2 au 3, zinaondoa hamu ya kuzisoma kila mara na zitazoeleka
ReplyDeleteToo much, punguza katuni hata kama ni mbaya!
ReplyDeletekweli lakini naunga mkono Michuzi jaribu kuwa unaweka kila week mara mbili Jumatatu na Ijumaa.
ReplyDeleteMambo haya yako sana hasa Africa. Viongozi wengi bila kwenda kwa hawa wataruma wanaona bado hawatoshinda,ndio maana viongozi wengi wa Africa onyo hawajui hata kuongoza
ReplyDeleteHaya jamaani hao ndio viongozi wa Africa, bila kwenda kwa wataruma bado. ndio maana hata kuongoza inavyotakiwa wanachemsha, kwa ajili y6a kusikiliza mengi ya wataruma.
ReplyDeleteaaaah jamani ee!! nyie kama hamna hobby na katuni msituondolee utamu bwana. mwaya michuzi uziwekege kila siku zinatuburudisha sana wengine!!!
ReplyDeletena kipanya vipi mbona umempiga kibuti??
Kwanza Michu, ahsante sana kwa kuendeleza upashaji wa habari kwa njia za kisasa na za kibunifu zaidi KATUNI IKIWA MOJA WAPO,Pili huyu jamaa wa uswazi hakika anakuja juu,hongera sana mtu wangu!
ReplyDeleteKuhusu wadau waliochangia kwamba katuni zipunguzwe, mie binafsi sikubaliani nao, maana kila mtu anafarijika na jinsi ambavyoujumbe unafikishwa kwa jamii, kwanza njia ya katuni mbali na kuburudisha pia ni inapevusha uwezo wa kupambanua-"enhencement of critical thinking", so its more of educative,yaani katuni zina elimisha zaidi maana zinakuza bongo zetu, so hata zikiwa kila siku au kila dakika hakuna mbaya kabisa, HUU NI MTAZAMO WANGU TU!!
Michuzi the Great man. asante kwa katuni naomba uwapuuizie hao wanaopendekeza katuni zipungue, tena ikiwezekana kama bado ile katuni ya "ZIRO" ipo ilete maana kuna ziro wengi tu humu wasiotaka kuelimishwa. MICHUZI KEEP IT UP
ReplyDeletePole mdau usiopenda katuni. Hii blog haikulengi wewe au haipo kwaajili yako wewe peke yako. Inaonekana hata magazeti husomi? Kwenye gazeti sio kila page ni nzuri kwako,unasoma zile unazotaka unaachana nalo. Likwise TV, sio program zote wewe unaangalia unachagua unazopenda tu. Hata Radio unasikiliza program utakazo tu then unatune channel unayotaka. Wengine wanakuja kwenye blog kwaajili ya katuni tu,wengine story za siasa,wengine uchumi. Kaa utulie,ukiboreka fanya kitu kingine. Wewe ni nani mpaka uanze kumlazimisha mithupu afuate utakavyo wewe? Anzisha blog yako na usiweke katuni hata moja na kuna watu watasoma vile vile!
ReplyDeleteoya nyie hapo juu..katuni ni news ni sawa akiweka kila siku kwasababu kila siku kuna jambo jipya...acheni kulieta u-sosholisti..
ReplyDeleteNyie mnaosema katuni zipungue mbona hamsemi na picha za wachezaji wa mpira wa miguu zipungue,mie binafsi sina hobby kabisa na mpira na wala sijui hata jina la mwanampira mmoja zaidi ya Maximo,kaka Michuzi weka katuni hata kumi kwa siku tena mrudishe na Kipanya pia zinanifurahisha sana........
ReplyDeleteKatuni ni sawa na nyuz zinaburudisha na zinaelemisha na hazihitaji muda mwingi kuzisoma kama news au feature, Michu endelea kuziposti asiyetaka kusoma aziruke. Huyu Viriyala na Kipanya wazuri lakini mbona unawaweka kwa nadra sana au wanalenga sana kunako?!
ReplyDeleteMdau-Mbagala a.k.a 'Baghdad'
Watu wanashindwa kutofautisha katuni na mdoli, nadhani. Katuni safi sana!!
ReplyDelete