JK akiweka udongo katika kaburi la Shangazi yake Marehemu Mwanjama Mrisho Kikwete(94) wakati wa mazishi yake yaliyofanyika huko katika kijiji cha Msoga,wilayani Bagamoyo Ijumaa mchana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2009

    pole sana mkuu wetu JK.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2009

    Shangazi amefariki poleni sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...