JK akimkaribisha Makamu wa Rais wa Kenya Mh.  Kalonzo Musyoka ikulu jijini Dar  leo.Baadaye viongozi hao walifanya mazungumzo ya faragha (pichani chini)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2009

    MIMI NIKIONA KK ANAVYOANGAIKA NA HAWA JAMA WA KENYA.
    WAKATI BONGO MAMBO KIBAO HAYAENDI NASIKITIKA SANA.
    WAGENI WANGAPI WANAFANYA KAZI TANZANIA KWA KUTUMIA VIPALI WAKATI WATANZANIA HAWANA KAZI.
    HII BIASHARA YA WATANZANIA KUJIKOMBA KWA WAGENI NA KUWA ACHA WATANZANIA HALISI TAABANI, INADHALILISHA NA KUTIA UCHUNGU SANA.
    MUNGU ATUSAIDI LABDA SIKU MOJA WAMATUMBI TUTAAMKA NA BADO TUTAKUA NA NAFASI...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2009

    Taratibu naona JK mvi zinaanza kumtoka kwa wingi. Kweli urais sio lele mama!
    Akija kumaliza ngwe yake kichwa kinaweza kuwa kama cha swahiba wake Lowassa!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2009

    mimi ninauliza huyu mtalii wetu anavaa bullet proof ya nini? kuna wa kumpiga risasi kweli huyu?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2009

    angalu wakenya wangemchagua huyu kuwa Rais wao!maana sura yake inapendeza kidogo ,lakini kwa baahati mbaya kenya hawajawai kuwa na Rais anayeweza kupamba ata jarida kwa kuweka picha yake mbela ya magazine.
    Na bahati mbaya hiyo imewakuta pia waganda toka wapate uhuru kuanzia marehemu Obote,mpaka Idd Amini,si Yusuf Lule wala Benaisa,wala Okelo
    na huyu Dikteka mpya Mseveni aka M7 ndio kabisa ! wote hawakuwa na sura za picha za kupamba majarida,kama vile marais wa Bongo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 18, 2009

    Anony wa 5;17 kweli unawakilisha watanzania wala si utani jamani. Hivi nani alikuambia urais ni sura jamani kumbe ndio maana tunaliwa? Sasa kama urais ni sura huko kwenye umiss na umr itakuwa nini ndugu? Siamini hayo niliyoyasoma kama ndivyo ulivoandika inabidi nisome tena kwa kweli duh si mchezo kama hii ndio hali halisi then basi kazi kubwa ipo!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 19, 2009

    wewe anony wa 4:33
    hivi wewe ujui siku hizi pamoja na Rais hawe na sera nzuri za kuongoza nchi lakini sura pia ni muhimu! Sasa mfano Rais Mseveni,inabidi avae kofia ya Kanda Bongoman kuziba Chogo lake,
    Si Unakumbuka rais mstaafu Ben Nkapa,wataalamu walimushauri asikubali kuwekwa picha yake katika sarafu ya pesa ya tanzania kwa kuwa sura yake haiwezi kupamba sarafu,wewe vipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...