Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inabidi Watanzania tuwe makini sana na hawa jamaa..inaonekana wamekuja na mbinu mpya...leo wameanza na kisiwa kidogo..baadae wataendelea zaidi kusumbua majirani zao.
ReplyDeleteTutajenga ukuta mpakani kote wao wasije kwetu na sisi tusiende kwao hii ndio dawa
ReplyDeleteUkuta wa nini ndugu bennet, hawa wakija tunawachapa vibaya vibaya, wadogo sana hao, Museveni mwenywe hawaogopi, we ngoja wajifanye wanaweza waone! Yaani hata mimi ntarudi home niiingie jeshini maana nina machungu nao sana hawa jamaa!
ReplyDelete..kwa mtindo huu...hilo wanaloita "shirikisho" itakuwa ngumu sana!!...maana sisi na wao ni tofauti kabisaa!!...yaani left-light...tabia zao hazifanani na sisi....Tanzania tuwe macho na makini juu ya mipaka yetu!!!
ReplyDeleteHawa ndio jamaa zetu tunaotaka kufanya nao shirikisho,jamani 1977 ndio hao hao walivunja EA Community,mara Kilimanjaro yao,sasa Minjingo kesho si ajabu Minjingu kwakuwa jina linafanana.Tuwe waangalifu acha watuite waoga lakini wasihamishie matatizo yao kwetu.
ReplyDeleteNaishukuru Serikali kwa kusimama kidete kuhusu suala la ardhi kuwa libaki katika mamlaka ya nchi husika.
ReplyDeleteWanachokitumia sasa, wanaleta watalii hadi mlimani halafu wanarudi nao kwao. sisi tunabaki tunapiga miayo.
Watu wa maliasili wekeni tozo kubwa kwa watalii wanaokrosi boda kutoka kenya. Kama Mtu anataka aje moja kwa moja kwetu. Huu sasa upuuzi. Tusipokuwa makini wataingia mpaka chumbani. Si mmeona matangazo ya FIFA CONFEDERATIONS CUP YA JUNI 2009 KUHUSU MLIMA KILIMANJARO.?
mdau iyo FIFA CONFED vipi tena???? tupashe wengine uku
ReplyDeletewaache tu,kila kitu kina mwisho ngoja wathubutu ndio siku EA itakufa kwa mara ya 2 tena milele
ardhi ya Tz,ivi kuna nchi gani duniani wanalipa land/property tax?
asanteni