Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2009

    Inabidi Watanzania tuwe makini sana na hawa jamaa..inaonekana wamekuja na mbinu mpya...leo wameanza na kisiwa kidogo..baadae wataendelea zaidi kusumbua majirani zao.

    ReplyDelete
  2. Tutajenga ukuta mpakani kote wao wasije kwetu na sisi tusiende kwao hii ndio dawa

    ReplyDelete
  3. mdau, umanganiMay 31, 2009

    Ukuta wa nini ndugu bennet, hawa wakija tunawachapa vibaya vibaya, wadogo sana hao, Museveni mwenywe hawaogopi, we ngoja wajifanye wanaweza waone! Yaani hata mimi ntarudi home niiingie jeshini maana nina machungu nao sana hawa jamaa!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2009

    ..kwa mtindo huu...hilo wanaloita "shirikisho" itakuwa ngumu sana!!...maana sisi na wao ni tofauti kabisaa!!...yaani left-light...tabia zao hazifanani na sisi....Tanzania tuwe macho na makini juu ya mipaka yetu!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2009

    Hawa ndio jamaa zetu tunaotaka kufanya nao shirikisho,jamani 1977 ndio hao hao walivunja EA Community,mara Kilimanjaro yao,sasa Minjingo kesho si ajabu Minjingu kwakuwa jina linafanana.Tuwe waangalifu acha watuite waoga lakini wasihamishie matatizo yao kwetu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2009

    Naishukuru Serikali kwa kusimama kidete kuhusu suala la ardhi kuwa libaki katika mamlaka ya nchi husika.
    Wanachokitumia sasa, wanaleta watalii hadi mlimani halafu wanarudi nao kwao. sisi tunabaki tunapiga miayo.
    Watu wa maliasili wekeni tozo kubwa kwa watalii wanaokrosi boda kutoka kenya. Kama Mtu anataka aje moja kwa moja kwetu. Huu sasa upuuzi. Tusipokuwa makini wataingia mpaka chumbani. Si mmeona matangazo ya FIFA CONFEDERATIONS CUP YA JUNI 2009 KUHUSU MLIMA KILIMANJARO.?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2009

    mdau iyo FIFA CONFED vipi tena???? tupashe wengine uku

    waache tu,kila kitu kina mwisho ngoja wathubutu ndio siku EA itakufa kwa mara ya 2 tena milele

    ardhi ya Tz,ivi kuna nchi gani duniani wanalipa land/property tax?

    asanteni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...