HABARI wadau wote wa filamu na kiwanda chake hapa Tanzania.
Zanzibar International Film Festival/Tamasha la Nchi Jahazi linaandaa
Mafunzo ya muda mfupi/Training Workshop wakati wa kipindi cha Tamasha
27/06/09 mpaka 04/07/09 ndani ya Mji Mkongwe, Zanzibar.
Wito kwa watengenezaji filamu wote wa Tanzania kujifunza namna ya
kuandaa filamu kwaajili ya watoto, nauli na maradhi yote DFI/ZIFF
watagharamia.
Kwa yeyote ambaye angependa kushiriki naomba aniandikie email
akiambatanisha na CV yake na namba ya simu katika
e-mail:
filmdept@ziff.or.tz
Daniel Nyalusi
Events Coordinator/Film Programs
Zanzibar International Film Festival 2009
Huyu mtu anasema gharama za maradhi zitagharamiwa, heee! anaenda kuwapa watu wa maradhi kwa hela.
ReplyDeletena maradhi pia mtawapa?
ReplyDelete