Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mh Ahmada Ngemera amewahakikishia wafanyabiashara wa Ujerumani wanaotaka kuwekeza Tanzania, kuwa mazingira ya kuwekeza nchini humo ni mazuri na ya kuvutia.
Alisema hayo katika kongamano la uchumi mini ambalo liliandaliwa na chama cha urafiki wa watanzania na wajerumani na kuudhuriwa na wafanyabiashara na wawekezaji wa kijerumani kutoka katika jimbo la Munich ambalo ndiyo tajiri kabisa nchini Ujerumani.
Balozi Ngemera amesema pamoja na kuyumba kwa uchumi wa dunia, lakini bade uchumi na mazingira ya tanzania ni ya kuvutia kwa wawekezaji wa nie kuwekeza.
Aidha alisema serikali imedhamiria kwa dhati kupambana na rushwa ambayo ilianza kupigwa vita toka enzi zu mwalimu Nyerere.
Hata hivyo alikiri kuwa kasi ya kuchukua hatua si kubwa kama ilivyo katika nchi zu Ulaya, akitolea mfano wa kashfa ya rushwa iliyolikumba kampuni moja kubwa la magari la hapa Ujerumani, ambapo serikali ilichukua hatua zu haraka.
Lakini Balozi Ngemera amesema, serikali inajitahidi kuongeza kasi hiyo ya kupambana na ufisadi.
Pia alizungumzia suala la ardhi ambapo alisema ni suala nyeti lakini lisiwatishe wawekezaji kwani tanzania ina Sera mujarab katika suala zima la ardhi.
Hata hivyo alisema haiwezekani muwekezaji akapewa ardhi kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula, lakini yeye akatumia kwa kilimo cha mazao mfano ya kutoa mafuta.
Akizungumzia juu ya mchango wa sekta ya wafanyabishara wadogowadogo hususan wanawake, Balozi Ngemera alisema wawekezaji katika eng hilo wanakaribishwa ambao watavisaidia vikundi via kinamama.
Wakati hub hub Balozi huyo wa Tanzania nchini Ujerumani ameanza utaratibu maalum wa kuwatembelea na kukutana nah watanzania wanaoishi katika majimbo ya hapa Ujerumani.
Ujerumani ni moja kati ya nchi kubwa Barani Ulaya ambapo imekuwa vigumu kwa watanzania kukusanyika sehemu moja kutoka shemu mbalimbali.
Watanzania kadhaa wametoa pongezi kwa hatua hiyo ya BALOZI Ngemera ya kuwa karibu na watanzania na kusema anatekeleza kivitendo tabia ya Rais Jakaya Kikwete ambaye anasifika kwa kuwa karibu na wananchi wa chini.
huyo mwenye liheleni nani tena au kazamia?
ReplyDeletehalafu anaonekana kabisa anatumia sigara kubwa
Mh!! muandishi alikuwa anasinzia ama? mbona amekosea maneno mengi, jamani tuwe tunajaribu kurudia tunayoandika na kusahihisha makosa madogo tuliyofanya kabla ya kutuma ujumbe ama habari itakayosomwa na wengine.
ReplyDeleteNaona mambo ya vipurikwenye sikio.
ReplyDeletehuyu balozi anaonekana ni mtu makini sana, na ni msikivu kwa watu na kuchambua mambo, yuko kama askari lakini anaonekana is nice guy!!
ReplyDeletekeep it up mjumbe wa serikali.
mdau canada.
ee jama ee kiereni na bendera ya bongo vinaenda???
ReplyDeleteMdau
Mashalah, jamani kijana huyo mrefu mweupe ni nani, jamani kijana mzuri mbaka naumia moyo, hebu nipeni jina lake na anaishi ujerumani, naweza hata kumfuata ikiwezekana, jamani vijana kama hawa mbona ngumu kuwapata wako wapi jamani na wasaka .
ReplyDeleteMaashallah my butt, Chagga looks
ReplyDeletehuyo balozi alivyokuwa na sura nzito kama mimi mwekezaji siwezi wekeza najua nitazulumiwa tu .Mheshimiwa balozi tabasamu kidogo uvutie wawekezaji
ReplyDeleteHuyu Mshikaji wa nne kulia(picha ya kwanza) kama sijasoma naye Azania basi itakuwa Umbwe.Jina limenitoka.Anyway,Big up bro.
ReplyDeleteHawa wanasiasa wanadanganya sana watu hivi kweli tanzania kuna mazingira mazuri kweli ya kuwekeza?? tanzania hamna utawala wa haki na sheria .Mnangaika tu safisheni kwanza nchi wawekezaji watakuja wenyewe sio kutafutwa nchi imejaa rushwa kama nini , hamna demokrasia .
ReplyDeletekwa yule ananniulizia mimi kijana mrefu nionekanae hapo kwenye picha napenda kumwambia nashukuru kwa kuvutiwa nami. niandie kwa email yangu tukae2009@hotmail.com. nitafurahi kusikia toka kwako.
ReplyDeleteahsante
utawaweza vijana wa kibongo wakiwa nje ya TZ, wengine hata nywele wanasuka yaani wana kasumba na kuiga tamaduni zisizokubalika kwenye jamii yetu mpaka wanakera.
ReplyDeleteIm not trying to be judgemental, lakini niambieni kweli mtu mwenye kihereni utamwamini hata kufanya nae biashara ya maana? to me anawakilisha wasanii, either musicians au wacheza sinema period!
HUYO NI BABA YAKO MWENYE HERENI,WACHAGA HAMVAI HERENI NINI?
ReplyDelete