
kuna kijana mmoja ambaye jina lake halijapatikana amepigwa shoti ya umeme mnamo saa tatu kasoro dakika kenda. Watu kibao wamemzunguka bila ya kujalikama wanamnyima kuvuta hewa.Mara ikaja ambulance ya makontrakta kuja mchukua.
Latest modo ya ambyulensi (aina ya baluni mayai) ambayo baada ya kumbeba majeruhi hiyoo inageuza na kuwahi hospitali.
Mdau wa Dar

MUNGU MWEMA MWENYE UWEZAYE YOTE TUSAIDIE SISI WAAFRICA MPAKA LINI MAMBO HAYA NJAA,MAGONJWA,UFISADI,SHOTI ZA UMEME,NO AMBULANCE NK NI MATATIZO YA KAWAIDA KWENYE JAMII ZETU,TUSAIDIE MUNGU WASAIDIE NA HAO WALIOPIGWA SHOTI YA UMEME WAPONE WAWEZE KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU NA KUWAPA UGALI WATOTO WAO,NINAOMBA HAYO KATIKA JINA LA BABA NA LA MWANA NA LA ROHO MTAKATIFU,AMEN
ReplyDeletemichuzi,hicho kichwa cha habari'mdau ala shoti ya umeme' sio kizuru hapo kumbuka ni maisha ya binadamu yanayohusika
ReplyDeleteMADE IN CHINA NDIO HIZO HATHARI ZAKE. MASHAKA JOHN HUKO WAPI, MWAGA NONDOZ HAPO. NAJUA UMEFURAHI HADI OFISINI KKWENU KARIAKOO. TETETETETETETETETETET
ReplyDeleteSASA NDANI YA HIYO AMBULENSI YA BALUNI MAYAI WANAMPA DRIPU TOKA KWENYE REJETA YA HILO BALUNI? JAMANI HATA WAPALESTINA WANATUSHINDA WANAWEZA KUNUNUA AMBULENSI KIBAO! HUKU BADO HAWANA NCHI INAYOELEWEKA.
ReplyDeleteHUO UMEME KATIKA ENEO AMBALO NDIYO KWANZA LINAANZA KUSAFISHWA KWA UJENZI, UMETOKA WAPI? AU KULIKUWA NA WIZI WA UMEME UKIFANYIKA? TANESCO WATOE MAELEZO KAMA WANATAARIFA HII.
ReplyDeletekwa wale waliukuwepo ughaibuni hilo neno kenda ni tisa ni kiswahili fasaha.
ReplyDelete