Home
Unlabelled
bongo tambarare; nani anabisha??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo kuanzia wiki moja na kuendelea, Utawaona Tanesco na wakija wanakwambia hawana vifaa.
ReplyDeleteMwaka 1961 tulitaka uhuru, sijui kama tulikua tunajua tulichokua tunakitaka! Miaka karibu 50 mbele mambo madogo madogo ya msingi bado yanatutoa jasho! TULILOGWA SISI!?
ReplyDeleteKama kuna kampuni ambayo haina uwajibikaji ni pamoja ni hii ya umeme. Hapo ili kifanyike kitu watu wafanye kitu, aaah, gari litakuwepo. Ukienda kuwaambia wanadai magari yana shughuli nyingi, mafundi wachache nk,.
ReplyDeleteKuna sehemu nyingi sasa hivi tunapata umeme mara mbili kwa wiki, au mchana tu,lakini hatujatangaziwa `mgawo' Sehemu zinazopata umeme uliounganishwa na ofisi za Kisarawe kuna walakini, tunaomba viongozi wawamulike hawa watu!
Juzi tu kidonda cha mabomu kibichi yarabistara na moto wa tanesco, tutalala nje mahema hayatoshi jamani tusaidieni haraka.
ReplyDeleteHamna Yelow Tape to cover unsafe zone wala nini,kama haujaziona waya shauri yako.Man Tanzania-God Bless My Home Sweet Home.
ReplyDeleteMAKUBWA.
ReplyDeletetena mazito...khaaaa
ReplyDeletemvua ikinyesha?
asante mpiga picha