Mdau Michuzi Jnr  wa http://michuzijr.blogspot.com kaikuta hali hii leo mitaa ya Sinza Bamaga hapa Dar.  Inasubiriwa tume iundwe ndipo hatua zichukuliwe - tena baada ya madhara kwa maisha na mali za watu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2009

    hapo kuanzia wiki moja na kuendelea, Utawaona Tanesco na wakija wanakwambia hawana vifaa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2009

    Mwaka 1961 tulitaka uhuru, sijui kama tulikua tunajua tulichokua tunakitaka! Miaka karibu 50 mbele mambo madogo madogo ya msingi bado yanatutoa jasho! TULILOGWA SISI!?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2009

    Kama kuna kampuni ambayo haina uwajibikaji ni pamoja ni hii ya umeme. Hapo ili kifanyike kitu watu wafanye kitu, aaah, gari litakuwepo. Ukienda kuwaambia wanadai magari yana shughuli nyingi, mafundi wachache nk,.
    Kuna sehemu nyingi sasa hivi tunapata umeme mara mbili kwa wiki, au mchana tu,lakini hatujatangaziwa `mgawo' Sehemu zinazopata umeme uliounganishwa na ofisi za Kisarawe kuna walakini, tunaomba viongozi wawamulike hawa watu!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2009

    Juzi tu kidonda cha mabomu kibichi yarabistara na moto wa tanesco, tutalala nje mahema hayatoshi jamani tusaidieni haraka.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2009

    Hamna Yelow Tape to cover unsafe zone wala nini,kama haujaziona waya shauri yako.Man Tanzania-God Bless My Home Sweet Home.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2009

    MAKUBWA.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2009

    tena mazito...khaaaa
    mvua ikinyesha?

    asante mpiga picha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...