Kuanzia kulia ni mwakilishi wa Mwasu Fashions Bw.Sam Mshana,Manakamati wa Miss IFM 2209 Bw.Sarungi Daniel,Mwenyekiti wa miss IFM 2009 Peter Sarungi pamojana Mjumbe Bw.Lazaro Lutobeka walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar kuhusiana na shindano hilo la Miss IFM 2009 ambalo kesho usiku ndio itampata kinara wa shindano hilo litakalofanyika ndani ya ukumbi wa New Msasani club,Kinondoni Jijini Dar.

Shindano hilo lenye mvuto wa kipekee hasa kutokana na warembo wake wote kuwa fiti kila idara, litaleta ushindani na changamoto mpya katika mchakato mzima wa kumpata mlimbwende wa kuiwakilisha MissTanzania katika ngazi ya Taifa 2009.
Juu na chini warembo wa Miss IFM 2009 wakijifua katika ukumbi wa Break point ya mjini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2009

    Mh dada zetu ati twajisifia juu ya urembo, mie siwaelewi,nanyi wasomi mnaparade, oh iko kazi. Ila ni fani ongezeni juhudi, maana pengine miaka 100 ijayo mtatoa miss dunia

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2009

    Nishamwaga mieeeeeeeee.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2009

    WIZI MTUPU.
    ENZI ZA MWL. MAMBO KAMA HAYA TULIYAPIGA MARUFUKU KUTOKANA NA KUHAMASISHA NGONO. MTOTO WA KIKE KUACHA KITOVU WAZI MAANA YAKE NINI? JE, UNAFANYA HIVYO ILI KUAMSHA HISIA ZA NGONO KWA WANAUME? NA HISIA HIZO ZIKISHAAMKA, KINACHOFUTA UNAKIJUA?
    SAWA WEWE UTAPATA HIVYO VIJISENTI UNAVYOVIHITAJI, LAKINI USISAHAU NA UKIMWI PIA. INGELIKUWA ENZI ZA MWL. VIBINTI KAMA HIVI TUNGEVICHALAZA MBOKO, NA VINGELIKOMA KULINGA!!!!!!!!!!!! TENA KWA VILE TAYARI VIKO UCHI UCHI!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2009

    Hii mambo inaitwa Update(Eti unaenda na wakati)ndio inatuaribia watoto,maadili yanazidi poromoka. Huyu ni msomi halafu anaacha kitovu au tumbo wazi,Yote hiyo nikutafuta umaarufu wa kijinga. People of nowdays wanapenda kujulikana ilimradi misifa tu. Sasa Ukishapata U-miss chuo kinachofuata ni kuzurura na midume mtaani na out kibao.Si tunawaona waliopita hapo Chuo hakuna tena kumalizika. Mbona kila siku Ma-Miss nawadhamini ma-MR Kama kweli tunapenda maendeleo.tumechoka na wauza sura tuangalie njia nyingine ya kuleta maendeleo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2009

    Watoto mnaacha kusoma mnakimbilia urembo;kweli elimu ya siku hizi rahisi

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2009

    nyie majuha

    hii ni mojawapo ya faculty/kitivo katika vyuo vikuu vya bongo asa pale mliman kuna fine &performing arts!!tena unapata first class yako degree uyoooooo....hahahaaa
    mshawaonaga???? aya ndo mambo yao so hakuna cha uchi wala nini!!

    vibwaya na matiti nje ndo jadi asili yetu kabisa

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2009

    Huu Ushenzi utaisha lini? Hawa Wakakae wasome waache Upumbavu na kutafuta cheap money. Wakifeli watasingizia Ohh Mwalim Fulani alikuwa ananitaka wakat upuuzi mtupu. Bahati Mbaya wengine hawafanyi hata mitihani hufanyiwa...Then wanakuja kujidai eti wasomi...

    Tabia ya Kuiga ni Tabia ya Manyani...

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 15, 2009

    Mi nawashangaa nyie mnaowapa jina la wasomi. Hivi jamani IFM napo kuna wasomi?? jamani jamani msituchanganye

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 15, 2009

    wadogo zangu, huo urembo uwepo na kichwani basi, maana sio iwe ndo urembo mwilini halafu akiingila mwalimu darasani network inakata. maisha yenyewe haya bila shule lazima ufulie kama wakina fulani. Pigeni shule na huo urembo fanyeni pale mnapokuwa na muda sio kumix ma Financial accounting ya IFM.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 15, 2009

    Noma,mambo ya umiss hayabelong vyuoni jamani.Mnataka mademu wasisome eeh?? kila kukicha mamiss wa bongo ni skendo na umalaya,hakuna jipya.Yaani kwa kweli nawaunga mkono wazazi wanawakataza watoto wao wasishiriki umiss.Umiss bongo ni kujinadi na kujiboreshea soko la umalaya.Ovyooooo,mnanikera kweli.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 15, 2009

    1.kamati iyo mbona wavulana watupu
    2.sarungi mbona weeengi ivo,ni mradi nini?
    3.ivi umiss wa kunengua ivo ushafika vyuo vya elimu ya "JUU"?
    4.mbona iyo meza imejaa maji ya mlima kilimanjaro
    5.vodacom ndo wadhamini???

    6.grow-up

    ni hayo

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 15, 2009

    . Maskini,waoga na washamba-SUA

    2. Matajiri,wajanja na wenye akili-MZUMBE

    3. Wenye akili chache,wavivu na matozi,master duu-CBE DAR

    4. Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM

    5. Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama-TUMAIN UNIVERSITY

    6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi-MUCCOBS

    7. Wastaarabu wapenda nchi wanajua nini maana ya Elimu-TIA

    8. Waliokosa vyuo kabisa-RUCCO

    9. Mafundi-DIT,ST JOSEPH

    10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM-UNIVERSITY OF DODOMA

    11. Wasiojali future-SAUT,USTAWI WA JAMII,MWL NYERERE,MAGOGONI,UHAZILI TABORA,CBE DODOMA

    12. wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli 4-6-IAA

    13. Wanaosoma sana but silent-ST JOHN,KCMC,BUGANDO,

    14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM,ZANZIBAR UNIVERSITY,MORO MUSLIMU,NYUKI TABORA

    15. Wakujitolea na future duni-DUCE,MUCE,KIGURUNYEMBE,nk

    16. Wasiojali nchi mamluki-ABROAD

    17. Watu wa sifa zote hapo juu za kila aina-University of Dar-es

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 15, 2009

    Matangazo ya biashara hayo...WIZI MTUPU HAMNA HATA MMOJA ALIE MZURI HAPO...WANAHAMASISHA UMALAYA TUU. KAZI IPO BONGO SIKU HIZI...U-MISS UMEKUWA CAREER BONGO...UKIMWI NJE NJE...POLENI

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 15, 2009

    jamani tukomeni wanafunzi wa ifm, kila mtu anashiriki miss kwa utashi wake, sawa. IFM nichuo cha usimamizi wa fedha, ukitaka kusoma utasoma na anayetaka kucheza ruksa.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 15, 2009

    we anony wa 3:19 umechemsha. nani kakudanganya wenye akili na wajanja wapo mzumbe. mzumbe wanaenda wale waliofoji vyeti tu. wengi wanatumia vyeti vya watu marehemu, na walioko nje!! mzumbe wanafunzi na walimu mnabageini maksi. watoto wa kike mzumbe wanafaulu kwa kuvua chupi kwa walimu vijana!!! wengine walio wengi wanafaulu kwa vimemo kutoka kwa makatibu wakuu na mawaziri kwenda kwa mkuu wa chuo wenu kilaza vikimtaka ahakikishe kuwa fulani anafaulu hapo ndipo mkuu wa chuo humuita mwalimu husika na kumpa maelekezo kuwa hakikisha kuwa fulani anafaulu usiniangushe!!
    mzumbe hamna kitu kuko loose sana ndo mana hata walimu wengi wanasoma digrii zisizoeleweka.mtu anafundisha somo x lakini ana digrii ya somo y wapi na wapi, na wengine ndo kwanza wana digrii feki za udaktari sasa hapo utasemaje wenye akili na wajanja wako mzumbe umechemsha. mzumbe na nyie mtaongea mbele ya watu???

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 16, 2009

    Eeeee bwana kweli bongo tambarare yaani hao ndiyo viongozi wanaoongea na wanahabari kuhusu shindano la miss IFM mbona watu wenyewe choka ile mbaya wamepauka- pauka ,kama wadhamini wako vile du miss atakaye toka hapo ni tatizo....
    kuhusu hao watoto watu wanawatumia hiyo ni deal ya watu fulani... lakini kama miss Tanzania alikuwa mmoja tu katika historia ni Nancy ambaye at the first time i was proud to be Tanzania that day..well done baby hao waliobaki wanatafuta njia ya kutokamo...Miss hawezi kuwa hivyo bwana hawako smart,presentable as miss con.....
    MDAU WA KAMACHUMU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...