Juu ni kabla ya kukata keki ya hepi besdei ya Miss TZ 2008 Nasreem Karim na chini wakijichana misosi waliyoandaliwa na Hoteli ya Giraffe Ocean View. Watoto yatima kutoka vituo vya Makuya Orphans and Vulvarable Children, Sinza orphanage Children Centre, Nira Children and Youth Orphans Foundations na Unra Orphanage Centre walialikwa kujumuika na mlimbwende huyo ambapo pia walitumbuizwa kwa ngoma na wao walishiriki michezo mbalimbali. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2009

    asante sana dada
    ni kazi njema san hii kuwakumbuka awa taifa la nguvu la kesho,maana ndo wasomi,viongozi,wazazi wa kesho

    safi sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2009

    Braza Michuzi, naomba urekebisha hapo juu. Umeandika "Vulvaravle" na "Vulvar(able)" ni kitu kingine kabisa na sio hao watoto!

    Naelewa inglishi noti richabo lakini nadhani ulitaka kuandika "Vulnerable"....au ni mimi ndio nachemka??

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2009

    hongereni sana watanzania kwa kuwatunza watoto yatima upendo ni muhimu kulikoni kuwaona watoto hawa wakiranda mitaani na kuomba Mungu awabariki

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2009

    Ndugu Michu

    Nafikiri ungesema "Miss TZ 2008 asherehekea hepi besdei ya siku ya kuzaliwa kwake" na yatima

    Nawasilisha

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2009

    job true true hiyo vulvarvale imetustua wegi basi tuu.Haloooo

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2009

    Good job mamamamama

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...