Juu ni kabla ya kukata keki ya hepi besdei ya Miss TZ 2008 Nasreem Karim na chini wakijichana misosi waliyoandaliwa na Hoteli ya Giraffe Ocean View. Watoto yatima kutoka vituo vya Makuya Orphans and Vulvarable Children, Sinza orphanage Children Centre, Nira Children and Youth Orphans Foundations na Unra Orphanage Centre walialikwa kujumuika na mlimbwende huyo ambapo pia walitumbuizwa kwa ngoma na wao walishiriki michezo mbalimbali.
Home
Unlabelled
miss TZ 2008 asherehekea hepi besdei yake na yatima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
asante sana dada
ReplyDeleteni kazi njema san hii kuwakumbuka awa taifa la nguvu la kesho,maana ndo wasomi,viongozi,wazazi wa kesho
safi sana
Braza Michuzi, naomba urekebisha hapo juu. Umeandika "Vulvaravle" na "Vulvar(able)" ni kitu kingine kabisa na sio hao watoto!
ReplyDeleteNaelewa inglishi noti richabo lakini nadhani ulitaka kuandika "Vulnerable"....au ni mimi ndio nachemka??
hongereni sana watanzania kwa kuwatunza watoto yatima upendo ni muhimu kulikoni kuwaona watoto hawa wakiranda mitaani na kuomba Mungu awabariki
ReplyDeleteNdugu Michu
ReplyDeleteNafikiri ungesema "Miss TZ 2008 asherehekea hepi besdei ya siku ya kuzaliwa kwake" na yatima
Nawasilisha
job true true hiyo vulvarvale imetustua wegi basi tuu.Haloooo
ReplyDeleteGood job mamamamama
ReplyDelete