
Msanii nyota inayong'ara Nakaaya Sumari (shoto) akiwa na nanihii pamoja na mdogo wake Patra walipokutana kwenye mkutano wa Sullican A-Taun mwaka jana.
Nakaaya anazidi kuonyesha kipaji chake katika muziki. Mfano mzuri ni huu wimbo uitwao I am An African ambao ni toleo jipya likiwa lililofanyiwa ukarabati na maujuzi na producer mahiri Hermy B.
Ndani ya wimbo ameshirikishwa Chid Benz ambaye bila kusita amenata na beats vilivyo. Usikilize "I am an African" kwa kwenda
www.bongocelebrity.com
Kila la kheri Nakaaya. The world is watching! Keep rockin’.
hapa mbona anafanana na marehemu MIRIAM MAKEBA.
ReplyDeleteHuyo mdogo wake mbona balaa hilo?
ReplyDeleteWatu wanalala kweli huko Arusha?
Michuzzi usibanie comments, hayo ni mambo ya studio tu, hebu tuwekee live aliyofanya Danmark alichemka hujaona alikuwa anaanza na key hii anamaliza na nyingine. sasa tuwekee hiyo live tena tusikie.
ReplyDeleteHawa madada wote mashallah hasa huyo mdogo aliyesema wanalala kweli watu Arusha si utani, mh michuzi itabidi niwe nakufata nitakuwa nasema wewe baba mdogo wangu hahaha. Kuhusu nyimbo ya nakaaya Ukweli na maoni yangu sio nzuri sana mwenye nyimbo Beat ingekuwa vizuri kama ingekuwa za Kiafrica Chidi Benz kachana vizuri pamoja na kuna mwanamke mwisho kadakia kaimba vizuri naye ila Nakaaya kwenye hii nyimbo yake kachemsha yeye. ila anafanya kazi nzuri. xxxxx
ReplyDeleteNishamwaga.
ReplyDeleteKwani Michuzi kuweka link ambayo ukiclick unaenda kwenye hiyo blog shilingi ngapi. mtu mpaka acopy hiyo URL. Najua unaweza kuweka link.
ReplyDeleteWimbo wenyewe mmmmbaya. Wala sio mzuri kelele tu
ReplyDeletejamani wacha niseme ukweli,miye hiyo nyimbo wala sioni kama ni nzuri,nashangaa watu wanavyoifyagilia.Au kwa vile kapata mkataba na Sony basi kila kitu afanyacho ni kizuri???
ReplyDeleteMr. politicial aliimba vizuri kwa kweli ila hii mmh thumb down.
hongera aliyevaa thuti ametoka mchicha
ReplyDeleteacheni "mtima nyongo",huyu dada sijawahi kusikia nyimbo zake before lkn hii track imetulia.kuanzia beat na hata jamaa aliyefanya feat. naye kakamua fresh.
ReplyDeleteWatu wengine bwana....hovyooooo! Picha tu mnamwaga, je Live inakuaje? tamaa hizo!!!
ReplyDeleteKweli globu ya Michuzi imejaa haters! mbona wimbo ni mzuri sana, tumpe credits zake Mtanzania mwenzetu jamani!
ReplyDeletemikonozzzzzzzzzzzzzzzzzzz
ReplyDeleteheee balzo wa nanihii...unahamasisha sana bwana
ReplyDeletehahahahaaaa
tumeona
Nimemwanga kweli kikweli kweli akiwepo mbona ndio sekunde nusu tena.
ReplyDeletesullican jamaani me sijaelewa- au ndo a.k.a ya sullivan
ReplyDelete