Bendi ya Ngoma Africa wanatarajiwa kutingisha katika tamasha kubwa la "Masala Festival"siku ya 14 juni 2009.
kutokana na habari zilizomo katika gazeti la Africa News linalochapishwa Italia na kusambazwa Ulaya kote The Ngoma Africa Band aka FFU watakamua bila huruma !
pia katika matamasha mengine makubwa !pia watarudi tena Ufini hapo 18 -7-2009,bendi hiyo pia inatingisha maonyesho mengine makubwa barani ulaya ratiba kamili itakuja.
Habari zaidi bofya
entertainment/the-ngoma-africa-band
-continues-to-thrill-fans.html
vipi?kamanda umerudi tena na madongo yako mfukoni.kweli unakubalika inapibidi nibaki na kigugumizi.vipi yale mambo ya naniino mama kimwaga siku hizi makula pamoja?
ReplyDeletekaka bro naona nyuma yako una ulinzi mkali wa wapiga mipini,hapo naona ni nyuzi bin nyuzi tu hakuna
ReplyDeleteplay back.kaza buti
te te te mwe mwe kaka brazaa kote mnakamua nyie ! sasa wenzenu wakale wapi polisi?
ReplyDeleteMUNGU WANGU! JAMANI VICHAA WAMEOKOTA MARUNGU WANAKIMBILIA SOKONI HAO!!!!!!
ReplyDeletevicha wetu karibuni hannover,tunawasuri kwa hamu kubwa na moto wenu.
ReplyDeletemzee wa Tumbi
hallo wazee wa kukaanga mbuyu,vipi? mna kizizi,naona mambo yenu mswano kila kona,haya endeleeni kutuwakilisha
ReplyDeletewachizani ngoma africa,mimi nitakuja kuyasakata magoma yenu,mziki wenu naukubali
ReplyDeleteMdau wa Koeln
mkulu kulu ras makunja vipi? mlienda Mlingoti nini? kila sehemu mmechukua sasa wengine watapiga wapi? any way mshikaji wetu tunakuamini kuwa ni kifaa cha kazi.
ReplyDeleteHabari haihusiani hapa lakini mbona kimya kuhusu usajili wa NBA? Leo ndio Thabeet atajua atacheza wapi msimu ujao.
ReplyDeleteNgoma Africa vipi? wazee huku sweden mtakuja lini? nasi tujifarague?
ReplyDeleteHiii!kaka brother ras makunja namna gani?libeneke naona mambo unavyoyapeleka kwa kasi,sasa hapa Swiss,watu tuna hamu na shauku ya kupata burudani Live! njooni mmalize mambo.
ReplyDeletemkulu wa madongo ras nani? kaza buti vitu vyako vinakubalika wakati ndio huu wa mziki wa TZ
ReplyDelete