Ras Makunja na Ngoma Afrika band jukwaani katika moja ya shoo zilizopita


Bendi ya Ngoma Africa wanatarajiwa kutingisha katika tamasha kubwa la "Masala Festival"siku ya 14 juni 2009.


kutokana na habari zilizomo katika gazeti la Africa News linalochapishwa Italia na kusambazwa Ulaya kote The Ngoma Africa Band aka FFU watakamua bila huruma !


pia katika matamasha mengine makubwa !pia watarudi tena Ufini hapo 18 -7-2009,bendi hiyo pia inatingisha maonyesho mengine makubwa barani ulaya ratiba kamili itakuja.


Habari zaidi bofya
entertainment/the-ngoma-africa-band
-continues-to-thrill-fans.html

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2009

    vipi?kamanda umerudi tena na madongo yako mfukoni.kweli unakubalika inapibidi nibaki na kigugumizi.vipi yale mambo ya naniino mama kimwaga siku hizi makula pamoja?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2009

    kaka bro naona nyuma yako una ulinzi mkali wa wapiga mipini,hapo naona ni nyuzi bin nyuzi tu hakuna
    play back.kaza buti

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2009

    te te te mwe mwe kaka brazaa kote mnakamua nyie ! sasa wenzenu wakale wapi polisi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2009

    MUNGU WANGU! JAMANI VICHAA WAMEOKOTA MARUNGU WANAKIMBILIA SOKONI HAO!!!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 19, 2009

    vicha wetu karibuni hannover,tunawasuri kwa hamu kubwa na moto wenu.
    mzee wa Tumbi

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 19, 2009

    hallo wazee wa kukaanga mbuyu,vipi? mna kizizi,naona mambo yenu mswano kila kona,haya endeleeni kutuwakilisha

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 19, 2009

    wachizani ngoma africa,mimi nitakuja kuyasakata magoma yenu,mziki wenu naukubali
    Mdau wa Koeln

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 19, 2009

    mkulu kulu ras makunja vipi? mlienda Mlingoti nini? kila sehemu mmechukua sasa wengine watapiga wapi? any way mshikaji wetu tunakuamini kuwa ni kifaa cha kazi.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 19, 2009

    Habari haihusiani hapa lakini mbona kimya kuhusu usajili wa NBA? Leo ndio Thabeet atajua atacheza wapi msimu ujao.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 20, 2009

    Ngoma Africa vipi? wazee huku sweden mtakuja lini? nasi tujifarague?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 20, 2009

    Hiii!kaka brother ras makunja namna gani?libeneke naona mambo unavyoyapeleka kwa kasi,sasa hapa Swiss,watu tuna hamu na shauku ya kupata burudani Live! njooni mmalize mambo.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 20, 2009

    mkulu wa madongo ras nani? kaza buti vitu vyako vinakubalika wakati ndio huu wa mziki wa TZ

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...