
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Mkuyuni ,Tarafa ya Mkuyuni , Wilayani Morogoro wakiangalia mchezo baina timu ya Manchester United dhidi ya timu ya Wigan zote za nchini Ungereza katika mfululizo wa ligi ya nchi hiyo uliofanyika juzi jioni ambapo matokeo yalikuwa ni kwa Man Utd kushinda mabao 2-1. wanafunzi hao na watu wengine walilazimika kulipa kiingilio cha sh: 300 kuangalia mpambano huo. Picha na mdau wa mji kasoro bahari John Nditi.
Duh Jamani mbona mnapenda kutuongopea hapahapa tupo macho au mie ndio nimeshindwa kuelewa.
ReplyDelete1. Game siilikuwa jana? sio juzi. hii picha ya Alhamisi imewekwa hapa.
2. Je ni wanatizama hapo moja kwa moja au? sababu kama umemanisha moja kwa moja kwa Tanzania itabidi iwe saa Tano usiku. nikitizama kwenye Tundu za Nyumba hiyo au Jengo hilo naona mwanga wa Juwa kumaanisha kwamba Kweupe si Usiku.
Michuzi tufahamishe vizuri tunaomba.
John Nditi unatuzamisha majini hivihivi.
Michu hapo mdau kaku-jazz, mbona gemu la Mani Yuu na Wigan lilipigwa night kali? Hapo naona kama jua linawaka kwenye hako kadirisha vile, au ilikuwa recorded, feedback puliiiz!
ReplyDeleteMzalendo 101
Wanalipaje sh: 300 wakati unaweza kuona bure kwenye matundu ya ukumbi?
ReplyDeletePPV in the dust
ReplyDeleteraha sana bongo
ReplyDelete