mtangazaji machachari wa idhaa ya kiswahili sauti
ya Amerika (VOA) Sunday Shomari along na blogu ya jamii
Most read Swahili blog on earth
mtangazaji machachari wa idhaa ya kiswahili sauti
ya Amerika (VOA) Sunday Shomari along na blogu ya jamii
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani sunday!, still handsome.
ReplyDeleteRemember Radio one, the saturday morning show?(It's your patner in crime)
Keep it up bro!
Shomari huwaga nampenda sana hususan sauti yake na jinsi anavyojitahidi kukwepa athari hasi za Lugha ya Kingereza(Kiswakinge) ingawa wakati mwengine huwa anashindwa kulikwepa hilo,lakini sio mbaya kama ni kwa kuzidiwa,tofauti na "Baadhi ya Wabongo" wanaolazimisha athari hasi za Kingereza wasizokuwa nazo.Zidi kutupa Mavituuuuz mtu wetu!
ReplyDeleteKufatwende Ugonvimwiko
ST-JEAN
CANADA
Eti ana advertise Voice of America kwa "mambo mengi mbali mbali ya kuvutia mazito" halafu anataja michezo na muziki...
ReplyDeletekaka sunday kanikumbusha wimbo wa kibindankoi wapi monica mfumia, hivi yupo wapi dada monica siku hizi?
ReplyDeleteSunday. You are very smart man! I love what you do and you have always maintain your originality as well as your professional credibility. Keep up the good work, good luck and may God continue to bless you.
ReplyDeleteexcellent representation Sunday, hawa wanamuziki wetu na mameneja wao sijui kama wana huo mtazamo wa kufanya kazi na macelebrity wa America. Umewapa mchango mzuri, kazi kwao!!
ReplyDeleteJamaa alikuwa mmoja wa waliounda chama la Radio One lililokuwa juu sana wakati fulani. Enzi za akina Mike Mhagama, Monica Mfumia, Flora Nducha, Vicky, Peace K, Deo Mshigeni, Rankim, Master T, Mzee wa macharanga, Aunt Ndina, Seba Maganga, Masoud Masoud, Brother Miki na wengineo.
ReplyDeleteBig up popote mlipo, lile chama halitarudi tena kwani siku hizi watangazaji wamebaki wachache sana katika tasnia ya Radio Bongo nzima.
I admire the way ana-avoid kumix lugha yaani mpaka mtu unataka aongee tu jamani
ReplyDeleteNice smile Sunday, gorgeous.
ReplyDelete(partner in crime from radio one)