Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. William Lukuvi (kushoto) akipokea Msaada wa chakula na mablanketi kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dorris Malulu, vyote vikiwa na thamani ya sh. milioni 10 kwa ajili ya kusaidia walioathirika na milipuko ya mabamu Mbagala, Dar es Salaam. Hafla hiyo ilifanyika eneo la Mbagala Kuu, jijini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2009

    huyu Lukuvi anaonekana ni braza man, ni bora hata kandoro tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2009

    Hongera Dorris Malulu. Nimefurahi sana kukuona na kujua unaendeleaje kikazi. Keep it up.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...