dege la KLM likimwaga wese ili kupunguza uzito na kuiwezesha kurudi na kutua uwanja wa schiphol jijini amdsterdam mchana huu kufutia hitilafu za kiufundi mara tu ilipopaa kuelekea san francisco, marekani
dege likitua schiphol ambapo abiria walitelemka na kupewa ndege ingine iliyowafikisha mwisho wa safari yao salama salimini
dege likitua schiphol ambapo abiria walitelemka na kupewa ndege ingine iliyowafikisha mwisho wa safari yao salama salimini
dege la KLM likitua uwanja wa ndege wa san francisco, baada ya iliyoanza safari kurejeshwa amsterdam kwa ajili ya matengenezo
du pole sana ukikutana na kimbembe cha angani kila unapoingia ndani ya pipa lazima uombe manake kuna ile moja Air chine inaonyeshwa ktk natgeoq tv ni noma tupu kosa dogo tu la pilot linge sababisha kifo cha watu kibao sababu ya fatiki likizo njema mkuu wa kijiji hiki
ReplyDeleteDEAR MICHUZI AND COLLEAGUES,
ReplyDeleteWELCOME TO THE STATES. I KNOW IT'S NOT EASY TO SEE YOU, BUT GLAD THAT YOU ARE WITH US IN OBAMA'S. GLAD YOU LANDED SAFELY. SOMETHING BAD WOULD HAPPEN, IF THE PLANE WAS NOT CHANGED. WHO KNOWS!
MMEKUJA MSIMU MZURI, USA HAKUNA BARIDI SASA. NA MIEZI YA 6, 7, 8, 9 ITAKUWA NA JOTO ZAIDI.
ASANTE SANA.
Marko.
mkuu wa wilaya ya Tegeta huko San Francisco itabidi ununue ze fulans nyingine maana hiyo imekuwa kauka nikuvae wadau tumeichoka kuiona
ReplyDeleteTatizo ni kuwa nanihii longi taimu hujaenda vekesheni, yaani hadi ndege ilipata mshituko kukuona umo pipani!
ReplyDeleteenewei, vekesheni njema, ukiwa unarudi pitia basi na huku Omani ule tende yahe!
Halafu mkuu wa nanihii, pamoja na kuchapa koti, kwa ndani naiona ze fulanaaaaz ile ile!
ReplyDeletemdau Marko siyo lazima kuandika kiingereza kibovu. kwani ukiandika kiswahili kitaharibika nini? eti'something bad would happen' jamani hicho kiingereza mie hoi.na hapo uko Marekani.kazi kweli kweli.Michuzi nakutakia mapumziko mema na UK unakaribishwa.
ReplyDeleteduh pole sana,walitaka kukatisha koromeo lako kupokea mpunga na tamutamu za bongo?au uliwashtua km we mtu muhimu bongo wajitahidi kurekebisha ufike salama nini?anyway umepona kaka endeleza libeneke
ReplyDeleteMichuzi I'm sure list ya mafisadi dagaa ikitoka na wewe utakuwemo tu bila shaka. Maana hizi si kodi kweli zinakupeleka huko vacation? Anyway hamna mbaya lakini kula maisha kufa kwaja.
ReplyDeleteWe Michuzi mbona nimesikia uko kwenye delegation ya JK Marekani? Naona umeukata haya balozi au mkuu wa wilaya?
ReplyDeleteUkirudi mjini mjomba utuletee zawadi...
ReplyDeletehahahaaa huhu huu
ReplyDeleteyani naona picha #1 ulilenga kikweliii
ayo mambo ya kawaida sana babu,midege km kawa tu.
aya mkuu wetu kula raha kwa raha zako,ila mboni pekee ivo mamsapu wapiiiii???
ze fulanazz km kawa!!
ma-engineerz wenye akili zao na kujua kazi zao...dege likabadilishwa kuepusha kero kwa wasafiri waliojikunja vijisent vyao kwenda vekesheni km wewe misupu!!
ReplyDeletesio bongo adi mwa-wehuka ndani ya ndege na bado si pilot wala wahudumu ataetoa japo maelezo km sii kuwatia moyo nk nk...huduma F
Nanihii nawewe kwa kujifagilia...mpaka tujue upo Marekani!! Haya ni Vekesheni kweli au umekuja kupiga box?
ReplyDeletemkipita silicon valley waambieni hao magwiji wa teknohama tunawahitaji waje bongo kuwekeza na sio kutupiga mchanga wa macho na vimisaada vyao...
ReplyDeletesiye sio akina matonya!!
Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyeezi Mungu kwa kuwajaalieni wewe na abiria wenzio kufika salama salimini safari yenu.
ReplyDeletePili namshukuru tena Mwenyeezi Mungu kwa kurenew visa yako ya kuishi hapa duniani maana hapo ilikuwa almanusra globu ya jamii kwishney!
Tatu, sku ingine uagage! siku zote si unaagaga oh, naenda vekesheni! vipi leo? au wewe siku hizi unaamini juju uliogopa ukiaga, safari haita onja mwanga wa jua?!
Nne, au wewe umekimbia simba jimboni kwako twambie kweli bwana!
Enewey mwisho pole sana Bwana Michuzi kwa mtikisiko ulioupata maana kama nakuona vile ulivyokuwa juu ya kiti unasali rakaa mia bila udhu wala nia!
Hiyo yote ni mitihani ya Mwenyeezi Mungu ya kukukumbusha kumcha siku zote siyo unapopata matatizo tu.
I hope kuna tamaduni mtakazo geza na kuwapelekea ndugu zetu Tanzania. Karibuni Texas, nilisikia mnatapita Texas mara mkabadilisha.... sisi tupo
ReplyDeleteMchumi wa Texas
Huyu mkuu wa nani hii muacheni tuu na kazi zake za nani hii!!!
ReplyDeleteHello mkuu wa wilaya ya nanihii, karibu sana huku kwa watu!- Kwa wenzetu. Natumai fulanazz umekuja nayo!! hahaha
ReplyDeleteMichuzi umeenda na tubegi tuwili tudogo, ukirudi tutumie picha ukiwa unawasili pale Dar es Salaam airport, I am 100% sure utakuwa umerudi na masanduku 6 na carry on moja. Naomba usinikose ka-fulana walao ka Ross dress for less. Enjoy mtu wangu na umeenda wakati mzuri, sale za sping kwenda summer
ReplyDeleteNi kweli nanihii, mkuu wa wilaya ya nanihii amekuja na fulanazz yake, nilikuwa naangalia hiyo picha kwa makini ndani anayo ile fulanazzz, Maisha mema na BOX jema
ReplyDeleteMkuu wa Wilaya walikuweka third class kama kwenye gari moshi la kwenda Mpanda
ReplyDeleteEbwana hiyo t-shirt waipenda sana au ulinunua nyingi saaaanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa-mdau MBIJE,A-Kafanabo
ReplyDeleteMr Ze Fulana cheats death! God is good.
ReplyDeletemichuzi, haya ndo matatizo ya tiketi za bure, utapandaje klm bwana?
ReplyDeletekadida
MICHUZI TUACHE UTANI USIONDOKE BILA KUJA CAPITOL CITY MUHESHIMIWA.TAFADHALI SANA NINA JEZI YAKO YA LIVERPOOL NYUMA NIMEANDIKA MAN UNITED NA NAMBA 1 ,NAMBA YAKO UNAYOPENDA KWENYE JEZI ZAKO ZA LIVERPOOL.
ReplyDeleteNaona Fulana zzz....kama kawadia inawakalisha. Mpe hi Mr. President ukonana naye Ijumaa.
ReplyDeleteTulikwambia upitie Bagamoyo ukakataa.
ReplyDeleteKweli michuzi mungu ana mpango nawe maana angkupenda mkafa wote ingekuwa hadthi nyengine ntaniii wangu
ReplyDeleteMh michuzi karibu sana state but mind you that mikono huko San fransisco ni noma so no mikonozz please.
ReplyDeleteWhy you like wearing that same T- shirt in many of the time i see you?????????
ReplyDeleteMichuzi atakuwa mhaya. Mpaka dunia nzima ijue kuwa umeenda marekani.
ReplyDeleteMdau Ubena Zamosi.
Nanihii fuatilia onyo la Swine Flu kwa karibu. San Francisco inafahamika kwa jinsia moja na kinyume na maumbile.
ReplyDeleteEbanaaeee..mkuu wa nanihii ndani ya Frisco, si mchezo, karibu mkuu, naona mijihela ya chama wewe wajua kuitafuna..tehe
ReplyDeleteMh! Issa upaparazi mbaka angani!!! keli iko damuni
ReplyDeletemichuziumekuja huku kuonana na john mashaka nini? i bet we will see a picture of and john mashaka together no no no its not good its smell fish!!ufisadi mtupu!!!!
ReplyDeleteDUH! Pole sana kaka Michuzi. I'm glad you arrived safely and WELCOME TO THE USA!
ReplyDeleteMichuzi acha uchoyo hata kutuletea tuzawadi. Jamani tubegi huto tuu unakuja nacho USA? Jamani zile tumlenda kweli hukuuona mweee
ReplyDeleteBRO KARIBU NAJUA UTATUPA STORY BWEE BWEE SASA HIVI USIJE UKASINGIZIA MTANDAO MANAKE MTANDAO HUKU NI CHAGUO LAKO TU WENYEWE UNAPOTAKA.
ReplyDeleteMsije mlimpandisha raisi wetu KLM. Kwiii kwiii
ReplyDeleteau ni kuwa mmekwenda wengi marekani na lindege letu la raisi halikutosha ikabidi wengine mbane kwenye klm?
Ni kweli ndg Balozi, SAN Fransisco ukiweka mikonoz kwa mwanaume mwenzio tayari unasikia vigeregere na wimbo wa iyena iyena au mwansomaso mwanangu msimuoneh...you know the rest !!
ReplyDeleteBe careful
Hicho kingekuwa kimbembe! Angani hakuna simile! Pole na mshituko!
ReplyDeleteMichuzi karibu sana U.S. na pia Minnesota ukipata muda. By the way nina ka fulana ka Minnesota Twins hapa kana rangi nzuri tu.
ReplyDeletePhatlorenzo-MN
mkuu ni shujaa sana maana kama ingelikuwa mimi hata hiyo picha isingepigika kwa woga!
ReplyDeleteKweli mkuu wewe mtu wa habari, ndege imepata msukosuko angani bado unapiga picha!!!!!!!!!!. Wewe ni noma. Siku simba wakivamia tuna uhakika tutapata ushahidi kwenye camera yako jinsi tukio lilivyokuwa.
ReplyDeletewatu kwa kusema, wahaya wachaga wa nini na nini ni watu kama wewe, acheni hizo, Mungu alipomuumba adam hakumawmbia kuwa yeye ni Mhaya wala mjaruo, punguzeni hadithi zenu zinaboa mhaya mhaya mhaya.......... fungeni midogo mnaboa saaaaaaaaana.
ReplyDeleteMichuzi anasafiri sana, kukushirikisheni ni kwasababu ndege yake ilipata matatizo, alipoenda uswede alikwambia? je alipokuwa ujerumani na nchi nyingine mlijua?? acheni hizi, unganeni naye KUMSHUKURU MUNGU KWA KUMFIKISHA SALAMA SIYO KULETA WAHAYA WAHAYA MNACHOSHA NA MIMANENO YENU KAMA HAMNA YAKUONGEA KAENI KIMYA KHA!
MICHUZI MUNGU YUKO NAWE, KWA JINSI ULIVYOSAIDIA WATOTO KIBAO NA WATU KUPONA KUPITIA JITIHADA ZAKO MUNGU HAWEZI KUKUACHA, TUTAZIDI KUKUOMBEA TULIO NA MOYO WA UPENDO KWAKO. MUNGU AKUBARIKI
Michu' welcome to Los Angeles as well... upate your Oscar!
ReplyDeleteHONGERA KWA WALIOSAFIRI NA NDEGE WANAJU KASHESHE KIDOGO TU UNAANZA KUSALI, ILA KWELI MICHUZI NAKUAMINIA, HUKU UNATAKA KUDEDI HUKU UNATAKE PICHA--HONGERA SANA NIMKUBALI, WE MDUME.THANKS GOD U R SAFE AND SOUND.
ReplyDeleteKaribu the US mkuu wa nanii, jihisi uko nyumbani, we appreciate the work you do michu.
ReplyDeleteLini mtakujua, Atlanta... black americans mecca.karibu sana. Home of Dr. Martin Luther King.
Mkuu karibu sana Texas, will be happy to have u. Fulanas ziko nyingi
ReplyDeletekama huku chukua namba ya simu utakua umechemsha LONNY anataka kurudisha fadhila
ReplyDeleteulizo muenzi ndani ya Njenje kaka yako hapa
Hii kaka inatisha, pole sana, safari njema na urudi salama.
ReplyDelete/Maggid
Iringa.
We Michuzi we.
ReplyDeleteHiyo picha ya tatu kutoka juu mbona kama hilo bawa la ndege limetoboka hapo!?!
Au ndo hicho kimbembe kimesababisha bawa la ndege kutoboka?
Duh! Poleni sana.
Hi! ZE FULANAZI !NAYO ON TOUR
ReplyDeleteKwikwik kwikw!!!!!!!!!!
ZE FULANAZIII HOYE EEEEE!!!!!!
tuambie huyo aliyekupokea anaitwa nani, nimemind
ReplyDeleteNay
CA
ebu nikuchunguza
ReplyDeletehuna pete ya ndoa pia uku,why??
ivi nyie wanaume mliooa kwanini hamvai pete zenu??
au mko ktk imani zile??za akina kakobe