Arsenal’s new away kit 2009/2010…tupo baba, msimu ujao wetu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Huu sio uzi wetu.In fact Uzi ni wa bluu .Nunueni hii mifano ya jezi za Premiership afu wakishatowa official nyuzi mnakuja kujuta.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2009

    Hii ndio Jezi ya arsenal away wewe vaa ya Chelsea tu kama hujui kusoma manake jezi ya Chelsea inamaboya kwandani ilia Drogba aki dive aogelee. Pazi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2009

    Duuh utafiki sidilia
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2009

    JEZI KAMA NI HII HAIVUTII KABISA ANGALIA ZA LIVERPOOL NA CHELSEA ZINAVUTIA,HAPA WAMECHEMSHA

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2009

    JEZI KAMA NI HII HAIVUTII KABISA ANGALIA ZA LIVERPOOL NA CHELSEA ZINAVUTIA,HAPA WAMECHEMSHA

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2009

    Bluu na kijani! Yak...what a combination!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2009

    Hii ni jersey ya Arsenal? Naona kama ya Taifa Stars.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 15, 2009

    You guys mnaongea hivyo kwasababu hamjui maana ya jezi na rangi zake...hiyo jezi ni kwa ajili ya kuwakumbuka wachezaji wa Gunners wa 1982, hii jezi itatumika kuwapa doooooz Mani Yuu, Bwawa na hao Simba wa Blue...kaeni chonjo for the kichapo season.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 15, 2009

    mimi ni mpenzi wa Arsenal lakini hii jezi does not look like arsenal at all....nadhani hizi jezi bado ziko kwenye designing process na hazijafika kwa wenye klabu kwa ajili ya confirmation...maanake mbona zote mbaya..?

    ReplyDelete
  10. Baba UbayaMay 15, 2009

    hayo ni mambo ya wapenzi tu kufanya hivyo.yeyote yule anaweza kukaa ktk comp na kuanza kudizaini jezi.
    kila mmoja anajaribu tu kukisia upi utakuwa uzi wa ugenini.

    mifano ni hiyo hapo chini:

    http://www.epltalk.com/new-arsenal-away-shirt-for-0910-season-revealed/5689

    http://www.footy-boots.com/new-arsenal-away-kit-6831/

    hivyo basi,rangi ama dizaini yeyote kati ya hiyo aliyoitoa mdau wa Arsenal na hizi hapa inaweza kuwa yenyewe lkn kwa sasa bado haijulikani rasmi kama jezi ya ugenini ni ipi.

    "Liverpool Milele"

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 15, 2009

    wadau msibishane sana huu ndio uzi mpya. kwa kawaida nyuzi mpya kila msimu hutoka wakati wa mechi mbili za mwisho, mtakumbuka mwaka jana kuna baadhi ya timu (i.e. darajani au chelsea na bwawa la maini) walivaa jezi zao mpya katika mechi zao za mwisho.
    hata hivyo naona majirani zangu (washika bunduki) safari hii wamenoa, kama wanavyobugi kwenye usajili kila mwaka kwa kuhendekeza upare (ubahili).
    hii jezi mbaya, mchanganyiko wa rangi mbaya halafu hata material yake haivutii. ndugu zangu acheni kubania pesa namna hiyo. hii timu sio ya kifaransa, ni ya kiingereza. katika nyuzi zote za mwaka huu bado naipa hongera darajani (the blues), ingawa sio mshabiki.
    amos msanjila

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 16, 2009

    Jamani msikariri kwamba lazima arsenal avae jezi yenye rangi nyeupe na nyekundu ama njano na nyeusi..hizo rangi nilizotaja zimeanza kuvaliwa miongo kadhaa iliyopita na kama aliyesema mdau hapo juu hiyo kijani ilivaliwa miaka ya 70 mwishoni na 80 mwanzoni ndio maana wanaienzi sio mnarukia tu ohhh siipendi..
    kwani we mshabiki uliopo afrika unachangia nini kwenye timu? zaidi ya makelele yako mbele ya kioo asiyeyasikia mtu yoyote pale uwanjani..
    hebu shabikieni yanga au mtibwa ndio mkosoe tutaona kweli mna haki maana mnazijua uhalisia wake sio unakosoa kitu umezaliwa umekikuta uhalisia wake hukijui..

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 17, 2009

    Hata ukibisha milele, wewe sio designer wa jezi za Washika bunduki, kama hutaki ngoja tukurahisishie, kitu eezy tu...google Arsenal's new away kit 2009/2010 season alafu utaona uzi gani unakuja...acheni blah blah nyie wabongo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...