The Ngoma Africa Band aka FFU!na mdundo wao wa "Bongo Dansi" wanatarajiwa kutingisha jukwaa lingine katika onyesho kubwa la Afrika Festival litakalo fanyika mijini Goeppingen,Ujerumani siku ya jumamosi ya 4 Julai 2009 saa 2.00 Usiku.

Bendi hiyo maarufu na dansi lake linalowatia kiwewe washabiki huko ughaibuni, wanasubiliwa kwa hamu na washabiki katika onyesho hilo.Wasikilize hapa
pia unaweza kuwasiliana kwa kupitia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2009

    hiiiiiiiii! naona ffu! mnakazi moja tu?mpaka liamba

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2009

    vipi? wazee wa vijembe naona libeneka bado linaendelea tuu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2009

    ngoma afrika naona mmekomaa kichwa kweli,mnahakikisha mpaka mmlaize majukwaa yote!hongerea zenu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2009

    kaka braza ras makunja kasi kubwa mmo hiyo punguza kidogo,hili mpate kumpizika,pia nanyi mnahitaji maisha ya kawaida kama binadamu wengine.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2009

    hello ! Vichaa wetu,naona hapa kazi bado inaendelea !? hakuna kupuzika wala nini? au vipi? ffu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 28, 2009

    wachizani wa ngoma afrika msobwe msobwe wenu! mkubwa,tunaukubali,sema tu 1dansi lenu inabidi mtu lazima ashibe sana vinginevyo ni hatari ya maisha

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 28, 2009

    hiii!hii! Makamuzi bado yanaendelea?haya vichaa wakati wenu sasa!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 28, 2009

    hii! te! te! maafande ffu,haya tuseme ni mashambulizi ya mbele kwa mbele!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 28, 2009

    wakali wa madongo,hongereni sana,mimi mshabiki wenu mkubwa nipo perea,ugiriki au umangani,naomba na sisi mtukumbuke japokuwa kupiga tour ya show moja tu kwani sasa ni msimu wa joto.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 29, 2009

    haya vichaa ahao wanakuja! wenye nyumba za madirisha ya vioo,jichungeni na mawe watakayoyarusha

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 27, 2009

    this is not goeppingen......this is hannover!!!!!!!!!
    what you`re trying to say or to do??????????????????????????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...