The Ngoma Africa Band aka FFU!na mdundo wao wa "Bongo Dansi" wanatarajiwa kutingisha jukwaa lingine katika onyesho kubwa la Afrika Festival litakalo fanyika mijini Goeppingen,Ujerumani siku ya jumamosi ya 4 Julai 2009 saa 2.00 Usiku.Bendi hiyo maarufu na dansi lake linalowatia kiwewe washabiki huko ughaibuni, wanasubiliwa kwa hamu na washabiki katika onyesho hilo.Wasikilize hapa
pia unaweza kuwasiliana kwa kupitia


hiiiiiiiii! naona ffu! mnakazi moja tu?mpaka liamba
ReplyDeletevipi? wazee wa vijembe naona libeneka bado linaendelea tuu
ReplyDeletengoma afrika naona mmekomaa kichwa kweli,mnahakikisha mpaka mmlaize majukwaa yote!hongerea zenu
ReplyDeletekaka braza ras makunja kasi kubwa mmo hiyo punguza kidogo,hili mpate kumpizika,pia nanyi mnahitaji maisha ya kawaida kama binadamu wengine.
ReplyDeletehello ! Vichaa wetu,naona hapa kazi bado inaendelea !? hakuna kupuzika wala nini? au vipi? ffu
ReplyDeletewachizani wa ngoma afrika msobwe msobwe wenu! mkubwa,tunaukubali,sema tu 1dansi lenu inabidi mtu lazima ashibe sana vinginevyo ni hatari ya maisha
ReplyDeletehiii!hii! Makamuzi bado yanaendelea?haya vichaa wakati wenu sasa!
ReplyDeletehii! te! te! maafande ffu,haya tuseme ni mashambulizi ya mbele kwa mbele!
ReplyDeletewakali wa madongo,hongereni sana,mimi mshabiki wenu mkubwa nipo perea,ugiriki au umangani,naomba na sisi mtukumbuke japokuwa kupiga tour ya show moja tu kwani sasa ni msimu wa joto.
ReplyDeletehaya vichaa ahao wanakuja! wenye nyumba za madirisha ya vioo,jichungeni na mawe watakayoyarusha
ReplyDeletethis is not goeppingen......this is hannover!!!!!!!!!
ReplyDeletewhat you`re trying to say or to do??????????????????????????