Mrembo huyo alishangiliwa na umati wa watu kila alipojitokeza jukwaani katika mavazi mbalimbali kama picha zinavyonyesha. Habari kamili na picha zaidi tembelea www.florasalon.blogspot.com
Home
Unlabelled
hajra badru atamba miss mwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hiyo link mbona kumejaa picha za Rose Muhando tu???acha uswahili kaka issa
ReplyDeleteJamani chonde chonde nipeni mawasiliano ya huyu binti. Nimempenda kwa dhati ya moyo wangu na naahidi kumpenda zaidi tutakapoanza mahusiano na kuanzisha familia yetu mpya.
ReplyDeleteNina uzoefu wa kuenzi na kujenga familia bora kwa miaka kadhaa sasa.
kwakweli nimefurahi sana! she's cute and biutiful.
ReplyDeletemdau wa pajazzzzz!
destruction of the poor is our poverty'' ''destiny'' buju banton. hebu bofya hilo songi yu tyube usikie mambo!!!
ReplyDeletewhat about her pajazzzzz? we need to see them so we can comment.
ReplyDeleteBaba Alban unataka ukammalize huyu albino?Serikali iko makini saa hii don`t even think about.Waarabu wenyewe sasa hivi hawataki viungo vya vya hawa ndugu zetu
ReplyDeletesasa michu mbona hujaweka pichaz nyingine angalau 2 mkuu?? unajua kabisa miss mwanza mwaka huu ilikuwa na vimwana wa kukata na shoka sasa jaribu basi kuweka na za mshindi wa kwanza na wapili zenye engo tofautitofauti basi mwana!!!
ReplyDeletemdau wa pajazzzz
Michuzi kuwa Albino sio ulemavu, bali ni uadhirika wa ngozi. Sio vilema hao, yaani hawajapungukiwa na kiungo cha mwili. Tuache kuwaita Walemavu wakati sio walemavu.
ReplyDeletehuu ni unyanyasaji kabisa...ebu msiwatumie walemavu kihivi
ReplyDeletewee "mdau wa pajazzz" una matatizo gani ya akili??
kapime haraka
ngrrrrrrrrrrrrrrr