Mrembo Hajira Badru ambaye ni mlemavu wa ngozi (albino) alishiriki mashindano ya miss mwanza yaliyofanyika uwanja wa ccm kirumba na kutamba hadi kuchukua nafasi ya sita. Mrembo mwingine ambaye pia albino, Grace, alijitoa baada ya kukabiliwa na shinikizo la masomo chuoni SAUT
Mrembo huyo alishangiliwa na umati wa watu kila alipojitokeza jukwaani katika mavazi mbalimbali kama picha zinavyonyesha. Habari kamili na picha zaidi tembelea www.florasalon.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hiyo link mbona kumejaa picha za Rose Muhando tu???acha uswahili kaka issa

    ReplyDelete
  2. Alban, Columbus OHJune 14, 2009

    Jamani chonde chonde nipeni mawasiliano ya huyu binti. Nimempenda kwa dhati ya moyo wangu na naahidi kumpenda zaidi tutakapoanza mahusiano na kuanzisha familia yetu mpya.
    Nina uzoefu wa kuenzi na kujenga familia bora kwa miaka kadhaa sasa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2009

    kwakweli nimefurahi sana! she's cute and biutiful.
    mdau wa pajazzzzz!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2009

    destruction of the poor is our poverty'' ''destiny'' buju banton. hebu bofya hilo songi yu tyube usikie mambo!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2009

    what about her pajazzzzz? we need to see them so we can comment.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 14, 2009

    Baba Alban unataka ukammalize huyu albino?Serikali iko makini saa hii don`t even think about.Waarabu wenyewe sasa hivi hawataki viungo vya vya hawa ndugu zetu

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 14, 2009

    sasa michu mbona hujaweka pichaz nyingine angalau 2 mkuu?? unajua kabisa miss mwanza mwaka huu ilikuwa na vimwana wa kukata na shoka sasa jaribu basi kuweka na za mshindi wa kwanza na wapili zenye engo tofautitofauti basi mwana!!!
    mdau wa pajazzzz

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2009

    Michuzi kuwa Albino sio ulemavu, bali ni uadhirika wa ngozi. Sio vilema hao, yaani hawajapungukiwa na kiungo cha mwili. Tuache kuwaita Walemavu wakati sio walemavu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 16, 2009

    huu ni unyanyasaji kabisa...ebu msiwatumie walemavu kihivi

    wee "mdau wa pajazzz" una matatizo gani ya akili??

    kapime haraka

    ngrrrrrrrrrrrrrrr

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...