Home
Unlabelled
kaji-vekesheni kahamiam sauzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi Umesema Dola 600 "Tu" Haya wengine Bus Mpaka Samora Tunaifikiria nauli. Michuzi huyo BIBI pembeni kapiga Jeans nyeusi T-shirt Nyeusi unajifanya upo mbali naye inakuwaje hapo? Msaidie Begi lake la Orange basi, Kuwa Msamaria mwema. Pazi.
ReplyDeleteMikonoz na hiyo fulanaz vinaendana sana, kama vile mboga moto na ugali moto
ReplyDeleteMichuzi unabadili mapipa-dege utafikiri nguo ndogo?ndio maana kina mwanakijiji wanakuonea wivu.kwani yeye kapanda ndege mara moja tu ile safari yake ya marekani miaka sita iliyopita hajatoka tena kutokana na kuwa hajapata makaratasi akiwa marekani.
ReplyDeleteMICHUZI NA WEYE SIKU HIZI WATUKANA YAKHE, TANGU LINI DEGE LIKAPANDIWA KISHTOBENI?????
ReplyDeleteNimekukubali michu, kumbe vekesheni ya zenji ulikuwa unauwa winga ku save nauli?
ReplyDeletena fulanas kama kawa!
ReplyDeleteTunakujua una kazi mbili....
ReplyDeleteEndelea kutafuna....lakini iko siku mrija wako tutaukata ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno. Twafahamu ufanyayo kwa kivuli cha uandishi wa habari!
ReplyDeleteKishtobe cha ndege iyo kimekaa vizuri LOL.
ReplyDeletewadau wa Sandton.
ReplyDeleteHivi yule kijana wa kichaga mweupe alikuwa anaishi Sandton yupo. Ni mshkaji wangu wa zamani nimepoteza mawasiliano naye.
Haya sasa nini... Ugomvi huo!!
ReplyDeleteSi ndo maana "Mtaa wa pili" wananuna:(
Jambo Forum Mpo??
Rugambwa Bwanakunu,Nimefurahi kukuona hapa "bloguni" after longtime,ntamwandikia email michu na ntamwambia akupe email yangu...A.K
ReplyDeleteduh sasa goma hilo halina festi clasi sekand klasi wala thedi klasi. naona madirisha yameunganishwa toka kwa dereva hadi mwisho mkiani. pole mwana!!!
ReplyDeleteMichuzi kamime Akili ushauri wa bure.
ReplyDeleteAssalam Aleykum mkuu....kaka hiyo picha ya mwisho hapo kuna maneno yamenichanganya ni uwanja wa ndege wa johannesburg, au uwanja wa ndege wa aepoti ya johannesburg au aepoti ni jina la uwanja wa ndenge wa johannesburg (johannesburg international airport)au ni makosa ya kiuandishi. naomba nisaidie hilo
ReplyDeleteDu hizi ndo ndege zetu za bei powa huwa zinapiga local tripu wameshindwa na kulula com na mango ndo sababu wameanza huko lakini bei ipo juu tu bado wangefanya buku 4 manake kwa sasa sio season ikifika watakuwa kama saa tu powa karibu sauzi
ReplyDeleteSAFARI HII LAZIMA WAKUTOE MSHIPA KAKA MICHUZI MAANA UNAWAPIGA MABAO YA KISIGINO ILE ILE.SIJASIKIA WATANI WA JADI WA ILE BLOG NYINGINE KULA MAPIPA KAMA WEWE.
ReplyDelete1time Air huwa haifiki bongo ya darisalam. Huwa inaishia zanzibar, ndiyo maana michu aliifuata huko na pia bei yake ni rahisi sana kuliko ndege nyingine yeyote.Kwawadau wapenda rahisi ndege nyingine za bei ndogo huko kwa Bw Jacob Zuma ni Mango airlines, Kulula airlines na Interlink Airlines na nyingine tatu nimezisahau majina.halafu masharti kibao usibebe begi la mkononi lenye uzito zaidi ya kilo tano Hazina ladha yeyote humo ndani. kwamaana ya kuinjoi safari,nikama za kijeshejeshifulanihivi... Mdau MAJUTO USWIDI
ReplyDeletenakushaurini kama hutamind uchovu na kama lengo ni KUPATA UNAFUU WA BEI,chukua joka hadi kwa babu kaunda-lusaka, kisha kiulaini tu na $200 unaingia kwa pipa joberg!!!
ReplyDeletewazambia wengi huwa wakienda home wanachukua hadi joberg kisha wanaanzia joberg-lusaka,na kurudi vivyohivyo.ila tena uchovu sasa!!
jamani michuzi unafaidi wewe,natamani tu hata niwe hiyo ze fulana,hivi my wife wako nani? unamfichaga wapi maana hata bongo hutoki nae kweli hanawivu hata kidogo,usiwajali jamii forum wana wivu sana hata hizi ndege za kupandia kishtobeni hawatazikaribia,endelea kutupa mapicha mbali mbali kama mimi nimefurahi kwa sababu nipenda south nilisoma huko.
ReplyDeletemkuu wa nanii samahani huyo wa nyuma mwenye begi la orange ndio my nanii wako?
ReplyDeleteAh Lugambwa kumbe naye yuko kwa Madiba? Still remember u sucker from Ihungo.... Nitafute
ReplyDeleteHilo dege ni la mizigo,
ReplyDeleteB
Hiyo staili ya kuingilia kishtobe siyo nzuri michuzi! tabia mbaya hiyo, hayo mambo yafanyika Lamu!!! tehe tehe tehe!!!!
ReplyDeleteEnjoy your trip!
Nimeona matangazo kua kuna Treni toka Cape Town mpaka DAR tena ni luxury ile mbaya
ReplyDeletekishtobeni...hahahahahaaaaaa
ReplyDeleteyan wee michu temea mate pembeni,dola 600???unaona ndooooogo
wee kula pesa ya sie wavuja jasho tu
mikonozzz kwa wadada/wamama tu dah!
aya vekeshen njema
tutakuja uko 2010 tickets za world cup ntazipataje kungali mapema???
ReplyDeletetupe na dili za hotels za bei zetu za kawaida mitaa isiyo na chinja-chinja lakini..tuenjoy world cup
balozi wa nanihii...
ReplyDeleteni hiviiii
siku nikikuona usishangae lakini "ntakuwaooo weee adi nichoke mwenyewe"
nakupenda sana tu basi tu
jeans yako
Nyie mnaomwandama MwanaKijiji na Jamiiforum. Hivi mnafikiri kule watu wote ni Masikini? Kule kuna hadi Dr. Slaa, Mwakyembe, Zitto Kabwe, Mbowe,Usalama wa Taifa, mawaziri kibao (kwa majina feki), waandishi wa habari, William Malecela, waalimu wa vyuo, Wahandisi nk. Sasa wote hawa mwafikiri wanamuonea wivu Michuzi? Michuzi, mie ni mdau wako na mdau wa JF na zote nazipenda si kawaida. Ushauri wangu wa bure kwako ni kuwa "usijiweke kwenye sehemu ya kulengwa shabaha...watajaribu hadi siku moja watafaulu....." Hili neno "hamniwezi" si zuri sana maana ujumbe wako nimeuelewa hivyo. Nikiamka na kukuta Blog yako balozi haipo, itakuwa kama nimenyanganywa remote control na kila wakati inabidi nisimame niende kwenye TV kubadili mambo. Kila la kheri na mafanikio yako ni yetu wote (information zina-cost) na wewe watupa bure. Keep going strong...... Mdau wako Sikonge (Michuzi blog/Jamiiforums)
ReplyDeletesekyu sekyu sekyu...
ReplyDeletekumwaoooo mtu ni kumfanya vipi tena jameni tusaidianeni kiswahili kinaniponyoka hivi hivi, mwana wane
ReplyDeleteWe unayeulizia 'uwanja wa ndege wa airport' umetokea kijiji gani?
ReplyDeleteKaribu saana...hongera kwa kujumuika nasi.
Msalimie mai wife wako.
duh kumbe oops
ReplyDeletekuna watu kumbe walijilipua siku nyiiingi ata kuulizia tu kwao kidogo ni nomaaaa
weee annon;kumuwao mtu ni kumkumbata je umeelewa kiwahili?rahisi zaidi ni zero distance