naelekea kwenye dege la 1Time ambalo linapiga tripu zake kutoka sauzi na zenji tu, halafu bei poa kama hawana akili nzuri. dola mia 600 tu upo kwa madiba
raha ya dege hili la 1Time ni kupandia kwenye kishtobe
hamna noma wala nini
wenyeji wangu sauzi baada ya kunipa bonge la lanchi la usiku sandton centre usiku huu
wenyeji wangu wakinipokea uwanja wa ndege wa eapoti ya johannesburg. mikonozzz kama kawa




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2009

    Michuzi Umesema Dola 600 "Tu" Haya wengine Bus Mpaka Samora Tunaifikiria nauli. Michuzi huyo BIBI pembeni kapiga Jeans nyeusi T-shirt Nyeusi unajifanya upo mbali naye inakuwaje hapo? Msaidie Begi lake la Orange basi, Kuwa Msamaria mwema. Pazi.

    ReplyDelete
  2. Mikonoz na hiyo fulanaz vinaendana sana, kama vile mboga moto na ugali moto

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2009

    Michuzi unabadili mapipa-dege utafikiri nguo ndogo?ndio maana kina mwanakijiji wanakuonea wivu.kwani yeye kapanda ndege mara moja tu ile safari yake ya marekani miaka sita iliyopita hajatoka tena kutokana na kuwa hajapata makaratasi akiwa marekani.

    ReplyDelete
  4. MICHUZI NA WEYE SIKU HIZI WATUKANA YAKHE, TANGU LINI DEGE LIKAPANDIWA KISHTOBENI?????

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2009

    Nimekukubali michu, kumbe vekesheni ya zenji ulikuwa unauwa winga ku save nauli?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 14, 2009

    na fulanas kama kawa!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 14, 2009

    Tunakujua una kazi mbili....

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 14, 2009

    Endelea kutafuna....lakini iko siku mrija wako tutaukata ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno. Twafahamu ufanyayo kwa kivuli cha uandishi wa habari!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 14, 2009

    Kishtobe cha ndege iyo kimekaa vizuri LOL.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 14, 2009

    wadau wa Sandton.

    Hivi yule kijana wa kichaga mweupe alikuwa anaishi Sandton yupo. Ni mshkaji wangu wa zamani nimepoteza mawasiliano naye.

    ReplyDelete
  11. Haya sasa nini... Ugomvi huo!!

    Si ndo maana "Mtaa wa pili" wananuna:(

    Jambo Forum Mpo??

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 14, 2009

    Rugambwa Bwanakunu,Nimefurahi kukuona hapa "bloguni" after longtime,ntamwandikia email michu na ntamwambia akupe email yangu...A.K

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 14, 2009

    duh sasa goma hilo halina festi clasi sekand klasi wala thedi klasi. naona madirisha yameunganishwa toka kwa dereva hadi mwisho mkiani. pole mwana!!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 14, 2009

    Michuzi kamime Akili ushauri wa bure.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 14, 2009

    Assalam Aleykum mkuu....kaka hiyo picha ya mwisho hapo kuna maneno yamenichanganya ni uwanja wa ndege wa johannesburg, au uwanja wa ndege wa aepoti ya johannesburg au aepoti ni jina la uwanja wa ndenge wa johannesburg (johannesburg international airport)au ni makosa ya kiuandishi. naomba nisaidie hilo

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 14, 2009

    Du hizi ndo ndege zetu za bei powa huwa zinapiga local tripu wameshindwa na kulula com na mango ndo sababu wameanza huko lakini bei ipo juu tu bado wangefanya buku 4 manake kwa sasa sio season ikifika watakuwa kama saa tu powa karibu sauzi

    ReplyDelete
  17. SAFARI HII LAZIMA WAKUTOE MSHIPA KAKA MICHUZI MAANA UNAWAPIGA MABAO YA KISIGINO ILE ILE.SIJASIKIA WATANI WA JADI WA ILE BLOG NYINGINE KULA MAPIPA KAMA WEWE.

    ReplyDelete
  18. 1time Air huwa haifiki bongo ya darisalam. Huwa inaishia zanzibar, ndiyo maana michu aliifuata huko na pia bei yake ni rahisi sana kuliko ndege nyingine yeyote.Kwawadau wapenda rahisi ndege nyingine za bei ndogo huko kwa Bw Jacob Zuma ni Mango airlines, Kulula airlines na Interlink Airlines na nyingine tatu nimezisahau majina.halafu masharti kibao usibebe begi la mkononi lenye uzito zaidi ya kilo tano Hazina ladha yeyote humo ndani. kwamaana ya kuinjoi safari,nikama za kijeshejeshifulanihivi... Mdau MAJUTO USWIDI

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 14, 2009

    nakushaurini kama hutamind uchovu na kama lengo ni KUPATA UNAFUU WA BEI,chukua joka hadi kwa babu kaunda-lusaka, kisha kiulaini tu na $200 unaingia kwa pipa joberg!!!
    wazambia wengi huwa wakienda home wanachukua hadi joberg kisha wanaanzia joberg-lusaka,na kurudi vivyohivyo.ila tena uchovu sasa!!

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 14, 2009

    jamani michuzi unafaidi wewe,natamani tu hata niwe hiyo ze fulana,hivi my wife wako nani? unamfichaga wapi maana hata bongo hutoki nae kweli hanawivu hata kidogo,usiwajali jamii forum wana wivu sana hata hizi ndege za kupandia kishtobeni hawatazikaribia,endelea kutupa mapicha mbali mbali kama mimi nimefurahi kwa sababu nipenda south nilisoma huko.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 14, 2009

    mkuu wa nanii samahani huyo wa nyuma mwenye begi la orange ndio my nanii wako?

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 14, 2009

    Ah Lugambwa kumbe naye yuko kwa Madiba? Still remember u sucker from Ihungo.... Nitafute

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 14, 2009

    Hilo dege ni la mizigo,

    B

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 14, 2009

    Hiyo staili ya kuingilia kishtobe siyo nzuri michuzi! tabia mbaya hiyo, hayo mambo yafanyika Lamu!!! tehe tehe tehe!!!!

    Enjoy your trip!

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 14, 2009

    Nimeona matangazo kua kuna Treni toka Cape Town mpaka DAR tena ni luxury ile mbaya

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 15, 2009

    kishtobeni...hahahahahaaaaaa

    yan wee michu temea mate pembeni,dola 600???unaona ndooooogo

    wee kula pesa ya sie wavuja jasho tu

    mikonozzz kwa wadada/wamama tu dah!

    aya vekeshen njema

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 15, 2009

    tutakuja uko 2010 tickets za world cup ntazipataje kungali mapema???

    tupe na dili za hotels za bei zetu za kawaida mitaa isiyo na chinja-chinja lakini..tuenjoy world cup

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 15, 2009

    balozi wa nanihii...
    ni hiviiii

    siku nikikuona usishangae lakini "ntakuwaooo weee adi nichoke mwenyewe"

    nakupenda sana tu basi tu

    jeans yako

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 15, 2009

    Nyie mnaomwandama MwanaKijiji na Jamiiforum. Hivi mnafikiri kule watu wote ni Masikini? Kule kuna hadi Dr. Slaa, Mwakyembe, Zitto Kabwe, Mbowe,Usalama wa Taifa, mawaziri kibao (kwa majina feki), waandishi wa habari, William Malecela, waalimu wa vyuo, Wahandisi nk. Sasa wote hawa mwafikiri wanamuonea wivu Michuzi? Michuzi, mie ni mdau wako na mdau wa JF na zote nazipenda si kawaida. Ushauri wangu wa bure kwako ni kuwa "usijiweke kwenye sehemu ya kulengwa shabaha...watajaribu hadi siku moja watafaulu....." Hili neno "hamniwezi" si zuri sana maana ujumbe wako nimeuelewa hivyo. Nikiamka na kukuta Blog yako balozi haipo, itakuwa kama nimenyanganywa remote control na kila wakati inabidi nisimame niende kwenye TV kubadili mambo. Kila la kheri na mafanikio yako ni yetu wote (information zina-cost) na wewe watupa bure. Keep going strong...... Mdau wako Sikonge (Michuzi blog/Jamiiforums)

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 15, 2009

    sekyu sekyu sekyu...

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 15, 2009

    kumwaoooo mtu ni kumfanya vipi tena jameni tusaidianeni kiswahili kinaniponyoka hivi hivi, mwana wane

    ReplyDelete
  32. We unayeulizia 'uwanja wa ndege wa airport' umetokea kijiji gani?

    Karibu saana...hongera kwa kujumuika nasi.
    Msalimie mai wife wako.

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 15, 2009

    duh kumbe oops
    kuna watu kumbe walijilipua siku nyiiingi ata kuulizia tu kwao kidogo ni nomaaaa

    weee annon;kumuwao mtu ni kumkumbata je umeelewa kiwahili?rahisi zaidi ni zero distance

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...