FC Bongo wakiwa vichwa chini baada ya gemu
Kilimanjao FC wakifurahia mauaji leo
Ule mpambano uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu, hatimaye umemalizaka kwa mabingwa watetezi kutoka Sweden Kilimanjaro FC kuwasasabua bila huruma Bongo Fc nyumbani kwao kwenye jiji la heslinki Finland.
Hadi mwisho matokeo ni ni kwamba:
Kilimanjaro Fc wameibugiza Bongo Fc magoli 8-1


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2009

    Sasa wabongo nyinyi ni u missi tuu?mpaka mnabamizwa goli nane mlikua uwanjani?au mlikua vitandani,,,ha, ha, ha,

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2009

    Asante sana mdauu Fc Bongo tatizo lao ni ulevii tuu wakupindukia bora hata ingekuwa 12-1 ili kila mzezaji atoke na bao lake moja...Waaachee starehe...Mdau.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2009

    ah kumbe ilikuwa netball!!! mi nlidhani soka bwana

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2009

    EEEEH SIE HELSINKI

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2009

    Dah kumbe hao bongo FC lao domo tu bao nane nyingi sana kisha nadsikia wamepika wali mbichi kuwapa wageni ,,,,mbona shuzi si dogo!

    ReplyDelete
  6. kujifaragua kwa saaaaaana fc bongo kumbe hamna lolote. safi sana kilimamnjaro fc.hongereni sana.
    mdau coventry

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 28, 2009

    Mtafungwaje goli 8 kwani mlikuwa mnacheza mpira wa kikapu!!!!!! haaaa kweli hampo sereous na game! Fanyeni mazoezi acheni kupombeka kwa sana!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 28, 2009

    hiyo mijezi ya yanga ndio imewaponza wenyenu wamevaa saafi kabisa jina kubwa na bango la nguvu la kuitangaza Tanzania bong fc maana yake ni nini nani anaijua bongo huko ulaya tafuteni jina lenye maana

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 28, 2009

    BREAKING NEWSSSSSSSSSSSSSSS
    EZZA a.k.a SCOLARI KATIMULIWA UKOCHA HII NI BAADA YA KIPIGO KIKALI CHA DOG MWIZI KUTOKA KWA KILIMANJARO FC.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 28, 2009

    Kilimanjaro FC sio timu ya kuifanyia mzaha, sisi wakazi wa Stockholm tunaijua na tunaamini ina uwezo wa kuifunga timu yoyote ya wabongo waishio europe. Kilimanjaro mko juuuu!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 28, 2009

    kifafa kifafa
    kifafa kifafa
    kifafa kifafa
    kifafa kifafa
    MUTAUMWA KWELI hongera yenu.Mwakani twaja wafunga huko huko kwenu.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 28, 2009

    namuona athumani machupa.kumbe hao jamaa kutoka swedeni waliamua kumchezesha machppa?? ndo mana wameshinda mabao yote hayo. kwa hao jamaa machuppa ni heavy weight hakustahili kuchezeshwa bwana

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 28, 2009

    Nyie wa2 wa tampere acheni majungu mkija lazima 2wagalagaze hamna lolote 2...helsinki 2ko juu kufungwa ni paet ya gem hata timu kubwa zinafungwa....

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 29, 2009

    ni kweli hata timu kubwa zinafungwa lakini wazee yani 8-1..aaa aa hii kali..poleni ndio soka bila maandalizi

    Dau la tampere..aaa mzee wa kinywajii ..najua chcha unanifahamu sina haja ya kujitaja..aaa tunakuja kuwapa kipigo kingiine jmosi

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 29, 2009

    Athumani Machupa hakustahili kucheza game hilo, yeye sio mtu wa Bonanza, Machupa ni anastahili kucheza mechi kubwa na ndio kiwango chake kilipo, si ajabu wameshinda goli nane hao...its not fair kabisa, kama pombe, hata Kilimanjaro nao ni walevi wa dumbizwi..kama ingekuwa Dumbwizi vs Dumbwizi hapo game ingekuwa shoka.


    Mdau,
    Ashkmatiti

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 29, 2009

    ..mh watanzania ni wazungu siku izi au ao wapemba yakhee?

    au ni timu tu za marafiki wabeba box

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 01, 2009

    huyo jamaa wa tatu kulia anayeserebuka (nyuma yake kuna jamaa ana T-shirt ya kijani) amefanana na Malouda wa Chelsea!!!! Au macho yangu? Jamaa wasije wakawa walitumia masuperstar!!!!! lol, ndio maana 8-1 !!!! Big Up.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...