

Ule mpambano uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu, hatimaye umemalizaka kwa mabingwa watetezi kutoka Sweden Kilimanjaro FC kuwasasabua bila huruma Bongo Fc nyumbani kwao kwenye jiji la heslinki Finland.
Hadi mwisho matokeo ni ni kwamba:
Kilimanjaro Fc wameibugiza Bongo Fc magoli 8-1
Sasa wabongo nyinyi ni u missi tuu?mpaka mnabamizwa goli nane mlikua uwanjani?au mlikua vitandani,,,ha, ha, ha,
ReplyDeleteAsante sana mdauu Fc Bongo tatizo lao ni ulevii tuu wakupindukia bora hata ingekuwa 12-1 ili kila mzezaji atoke na bao lake moja...Waaachee starehe...Mdau.
ReplyDeleteah kumbe ilikuwa netball!!! mi nlidhani soka bwana
ReplyDeleteEEEEH SIE HELSINKI
ReplyDeleteDah kumbe hao bongo FC lao domo tu bao nane nyingi sana kisha nadsikia wamepika wali mbichi kuwapa wageni ,,,,mbona shuzi si dogo!
ReplyDeletekujifaragua kwa saaaaaana fc bongo kumbe hamna lolote. safi sana kilimamnjaro fc.hongereni sana.
ReplyDeletemdau coventry
Mtafungwaje goli 8 kwani mlikuwa mnacheza mpira wa kikapu!!!!!! haaaa kweli hampo sereous na game! Fanyeni mazoezi acheni kupombeka kwa sana!
ReplyDeletehiyo mijezi ya yanga ndio imewaponza wenyenu wamevaa saafi kabisa jina kubwa na bango la nguvu la kuitangaza Tanzania bong fc maana yake ni nini nani anaijua bongo huko ulaya tafuteni jina lenye maana
ReplyDeleteBREAKING NEWSSSSSSSSSSSSSSS
ReplyDeleteEZZA a.k.a SCOLARI KATIMULIWA UKOCHA HII NI BAADA YA KIPIGO KIKALI CHA DOG MWIZI KUTOKA KWA KILIMANJARO FC.
Kilimanjaro FC sio timu ya kuifanyia mzaha, sisi wakazi wa Stockholm tunaijua na tunaamini ina uwezo wa kuifunga timu yoyote ya wabongo waishio europe. Kilimanjaro mko juuuu!!
ReplyDeletekifafa kifafa
ReplyDeletekifafa kifafa
kifafa kifafa
kifafa kifafa
MUTAUMWA KWELI hongera yenu.Mwakani twaja wafunga huko huko kwenu.
namuona athumani machupa.kumbe hao jamaa kutoka swedeni waliamua kumchezesha machppa?? ndo mana wameshinda mabao yote hayo. kwa hao jamaa machuppa ni heavy weight hakustahili kuchezeshwa bwana
ReplyDeleteNyie wa2 wa tampere acheni majungu mkija lazima 2wagalagaze hamna lolote 2...helsinki 2ko juu kufungwa ni paet ya gem hata timu kubwa zinafungwa....
ReplyDeleteni kweli hata timu kubwa zinafungwa lakini wazee yani 8-1..aaa aa hii kali..poleni ndio soka bila maandalizi
ReplyDeleteDau la tampere..aaa mzee wa kinywajii ..najua chcha unanifahamu sina haja ya kujitaja..aaa tunakuja kuwapa kipigo kingiine jmosi
Athumani Machupa hakustahili kucheza game hilo, yeye sio mtu wa Bonanza, Machupa ni anastahili kucheza mechi kubwa na ndio kiwango chake kilipo, si ajabu wameshinda goli nane hao...its not fair kabisa, kama pombe, hata Kilimanjaro nao ni walevi wa dumbizwi..kama ingekuwa Dumbwizi vs Dumbwizi hapo game ingekuwa shoka.
ReplyDeleteMdau,
Ashkmatiti
..mh watanzania ni wazungu siku izi au ao wapemba yakhee?
ReplyDeleteau ni timu tu za marafiki wabeba box
huyo jamaa wa tatu kulia anayeserebuka (nyuma yake kuna jamaa ana T-shirt ya kijani) amefanana na Malouda wa Chelsea!!!! Au macho yangu? Jamaa wasije wakawa walitumia masuperstar!!!!! lol, ndio maana 8-1 !!!! Big Up.
ReplyDelete