Mlimbwende Leyla Ally akivikwa taji la Miss Tanzania EU 2009
Leyla Ally akiwa na washindi wengine waliomfuatia
warembo wakichuana katika mavazi ya ufukweni
Naibu balozi wetu huko Ujerumani Mh. Ali Siwa (shoto) aliyekuwa mgeni rasmi akiwa na Aboubakar Liongo wa Redio DW meza kuu
Msanii wa kizazi kipya Snoopy Lee akitumbuiza kwenye shindano hilo
Jaji Mkuu Msiilwa Baraka (kati) akiwa na jopo lake

Leyla Ally kutoka Sweden ndie mshindi wa taji la Miss Tz EU 09 akifuatiwa na mshindi wa kwanza Maurine Kondo na wapili ni Aisha Juma wote kutoka Germany.

Washindi wengine ni Arlette Musiga - Miss most displined , na Miss Photogenic ilichukuliwa Aysha JumaMashindano hayo ya pili yaliyofanyika Essen Ujerumani, Naibu balozi wa Ujerumani Mheshimiwa A.Siwa alikua mgeni rasmi.

Shindano hilo lilikuwa na ongozwa na majaji kutoka nchi mbali mbali za Afrika, Bw.Soter-Cameroon, Bi. Llilian-Rwanda, Dr. Hull- Sierra Leon, wakiongozwa na jaji mkuu Baraka Msilwa Tanzania.Vikundi mbali mbali vya sanaa vilitumbuiza usiku huo wa aina yake hapo Essen akiwemo mwanamziki wa kizazi kipya Snoopy Lee, Beezy, Lizchip and Gloria pamoja na sebene la nguvu toka kwa kundi la Amuri ngoma Band.
Mbali na hilo mratibu wa mashindano hayo Nashe Mvungi aliungana na tamko la serikali ya Jamhuri ya Tanzania kupinga vitendo viovu kwa albino kwa kuwasha mshumaa kwa kusema haki sawa kwa Albino.
habari na picha zaidi

















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2009

    LIONGO macho yametoka kama ajaweka ndani vile.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2009

    She is beautiful! just pure and natural. Her beauty is effortless. I hope she goes far and fly that Tanzanian flag higer and higher!! Good luck and all the best my dear. and oh! congrats to the judges this was the right choice. Please provide her with all the assistance she may need i.e build her confidence and the ability to respond to those tough questions.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2009

    duh!! kudadadadadeki!! receiption imetulia, kifuani usiseme mambo saa sita mchana kweupeeee, tukishuka kwenye pajazzzzz dah ebwanaee. duh bro michu huyu yuko nchi gani huyu??? ka' vipi mwanangumwenyewe michu nipe mawasiliano mi nipo nottingham hapa. ukitaka kujua kuwa mtoto pajazzz linadatisha we cheki hiyo picha ya mavazi ya ufukweni duh. ila hata huyo black wa kwanza katulia ki-mtindo sema chestini sio kivile. dah ahsante kwa pichazzz bro michu make hapa nakula kwa macho tu angalau!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2009

    huyo wa kwanza vazi la ufukweni hiyo kufuriz nyeupe dah!!! ukivaa hivyo miss bongo basi lazima mkufunzi wao akipate cha moto. hiyo chupi nyeupe mwanam jamani nyie si kutafutana ubaya huku??? au mnatufanyia makusudi jamani nyie warembo??? dah haya bwana se yetu mimacho tu. ugali kwa picha ya samaki ha ha ha ha! aaaaaah usiku unapita fureshi tu mwaya...tutafanyeje sasa!!! ndo kilichobaki hicho. hizi picha kwakweli zinanipunguziaga sana maupwiro!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2009

    KAKA MICHUZI NILIKUA NAOMBA USIKILIZE KILIO CHETU SISI WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA WA KITANZANIA TUNAOSOMA NCHI ALGERIA.

    KUMBE UFISADI HUANZIA MASHULENI NA SIO MAOFISINI.ALIEKUA KIONGOZI WA WANAFUNZI AMEKULA POSHO YETU AMBAYO TUNATAKIWA TUPATE KILA MWAKA!!
    AMECHUKUA POSHO YETU YOTE YA MWAKA NA KUTUACHA HATUNA PAKUKIMBILIA,HATUNA PAKUSHITAKI MAANA TUMESHAFIKISHA HII ISSUE UBALOZINI UFARANSA,WIZARANI LAKINI INAPATA MWEZI SASA HAKUNA HATUA YOYOTE ILIYOCHUKULIWA.
    INASEMEKANA HUYU JAMAA ANAMTANDAO AMBAO UNAMLINDA HUKO BODI NA WIZARANI NA NDIO MAANA AMEWEZA KUINGIA MITINI NA MAMILIONI YA WANAFUNZI.
    KAKA MICHUZI KAMA NA WEWE NI MZALENDO WA KWELI UNAEPINGA UFISADI USIJE UMIZA WATOTO WAKO NA WATANZANIA TUNAOMBA UIWEKE HII SCANDAL PEJI ZAKO ZA MBELE KABISA ILI MHESHIMIWA RAISI WA TANZANIA ASIKIE KILIO CHETU,TUNAJUA MHESHIMIWA ANASOMA HUU MTANDAO,HATUNA WAKUTUSAIDIA JAMAA ANATANUA NA MAMILIONI YETU MTAANI NA WAPAMBE WAKE WANATUTOLEA NYODO.
    HII SCANDAL IMESABABISHA TUWATOE MADARAKANI YEYE NA MAKAMO WAKE BI ADELAID.
    HUYU JAMAA ANAITWA RUGE.
    CHONDECHONDE KAKA MICHUZI TUSAIDIE IKIWEZEKANA ITUME KWENYE MITANDAO MINGINE NA MAGAZETI.
    TUTAZIDI KUA NA IMANI NAWE UKITUSAIDIA.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 10, 2009

    Mbona wako uchi?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2009

    Huyu hata taji la miss Tz anaweza kulichukua

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2009

    MSHİNDİ ANASTAHİLİ , BAAB KUBWA , TUMEMKUBALİ

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 10, 2009

    Nisaidieni jamani. Naomba msaada wenu. kwa anayefahamu huyu mshindi yuko nchi gani na labda sehemu gani kama ni chuo au la naomba anisaidie. si utani naomba kwa anayejua anisaidie. ombi langu ni hilo tu.
    Ahsanteni
    Marko

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 10, 2009

    aaaaaagh! michuzi unaniua!! mungu wangu!!! halafu mtu akikuambia hapo anazamaga chumvini utapinga??. hapo kabla ya yote mimi kwanza ni kuzama chumvini kwa kufa mtu kama nusu saa hivi. eeeh yesu wee. mungu ameumba kwa kweli kah!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 10, 2009

    hivi huyu mtoto huwa nae anajamba kweli??? anaendaga chooni huyu kweli!!! mh sidhani!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 10, 2009

    Ukweli ni mrembo na anastahili. ila wasiwasi wangu ni kwamba isije fika huko mbeleni tukaanza kusema oh ni mwarabu/ mhindi kama yale ya mwaka 2007. Ni bora kuwepo na uhakika ni watanzania wazawa tu wanaostahili kuwakirisha nchi yetiu au mtanzania yeyeto hata kama ni mwenyeasili ya kiarabu au kihindi au kizungu?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 10, 2009

    huyu anaonekana mrembo lakini kule mahala pollution ni ya kufa mtu.the place is very contaminated!wanaopenda kwenda chumvini siku hizi kuna kaswende za makoo, oh shauri yenu!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 10, 2009

    ...hahahahahhaaaa...

    kaswende za kooni tena??

    ...kwi kwi kwi...

    izo braza hatujali,mbona ukimwi hatuufikilii adi aftermath??

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 10, 2009

    AHSANTE SANA JAJI MKUU BARAKA MSIILWA- MZEE WA TWANGA PEPETA NA JOPO LAKO LA AFRICAN UNION KWA KUTUCHAGULIA MREMBO BOMBA.

    Hakuna anayebisha huyo mshindi wa hilo taji ni bomba kweli kweli

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 10, 2009

    Dah! UNCLE Hashim Lundenga, fanya kila njia huyo mtoto aje kwenye fainali za Miss Tanzania. Ana nafasi ya kutoa upinzani mkali kwa dada zetu waliopo bongo, tofauti na wale waliokuja mwaka jana kutoka UK

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 10, 2009

    wewe mdau wa June 10, 2009 12:39 AM unamacho ya darubini? hayo yote uliyosifia kweli umeyaona kwenye picha gani hapo?

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 11, 2009

    yani kunabaadhi ya watu wanachafua hali ya hewa. Sijui ni kuwa akilini mwao kumejaa wadudu wananyevua nyevua yani sielewi. Badala ya kuchangia point zenye msingi, kuelimisha, kujenga wao vichwani wanafikiria kunjunjana tuu. OOOOH mara paja, mara pichu, mara braa, UJINGA GANI HUU?? Tanzania kwa mwenendo huu hatuta endelea.

    Blog hii ipo kwaajili pia ya kukusanya maoni ya wananchi juu ya kuendeleza nchi yetu na kujenga jamii, pia kufundisha jamii ifanye nini, wapi ilipokosea nyie mnaandika ujinga.

    Please kama hamna la kuandika msiandike maana watu ni wengi wanaotumia blog hii kusoma habari msifanye blog hii kama ya zeutamu. Yaelekwa nyie ndio mliotoka katika blog ya Zeutamu sasa mnakuja kuchafua hali ya hewa huku.

    Blog hii ni ya heshima. IHESHIMIWE.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 11, 2009

    anon June 10, 2009 10:16 pm

    Kaka michuzi aliandika
    HABARI NA PICHA ZAIDI

    http://www.misstanzania.eu

    Umeitembelea hio page?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...