Juu na chini ni washiriki wa shindano la Miss Tanga vodacom 2009 wakiwa katika mazoezi makali.


WASHIRIKI wa shindano la Vodacom Miss Tanga 2009, wako katika tizi kali kufuatia mchuano mkali utakaofanyika Jumamosi hii ya tarehe 6 juni mwaka huu katika uwanja wa mpira wa Mkwakwani mjini Tanga.

Mazoezi hayo yanaendelea katika ukumbi wa Splended mjini hapo ukiwa na warembo zaidi ya ishirini.

Miss Tanga 2009 Nadia Ahmed, Oliva Mango na Miss Tanga 2007, Miss Kanda ya Kaskazini na balozi wa redds 2007 Victoria Martin ni miongoni mwa walimu watoao mbinu mbalimbali za kuupatia mkoa huo ushindi.

Warembo walio kwenye kambi ya Miss Tanga 2009 ni Shumu Hamad,Quen Paul,Irene Mahatane,Alice Marcus,Glory Chuwa,Joyce Joseph na Latifa Justine.
Wengine wanaojinoa katika kambi hiyo tayarai kwa shindano hilo ni Neema Mbuya,Monica John,Rachel Mlaki,Lina Lucas,Salma Halid,Christina Michael,Ramla Hassan na Agnes Sambo.

Kwa mujibu wa maelezo ya Mkurugezni wa Five Brothres Enterteinment, Nassor Makau ni kuwa maandalizi ya shindano hilo yapo kwenye hatua za mwisho na kwamba mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Said Kalembo.

Shindano hilo limedhamini wa na Redds Premium cold,Vodacom, vayle spring, events lights, sd supermarket, darworth, afrique restaurant, regalnaivera hotel, hotel kolaprieto, crdb bank tanga branch, tanga fresh, amani drinking water na karata classic.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2009

    This will be a great show. asmah I am s sorry Iam going to miss the show, Balozi Victoria 2007 and 2008,you and Hellen most of all. Have a great show and may I please have a DVD of the show?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2009

    Duh!! huyo mwenye kiblauzi chenye rangi tofauti na wenzie huo mguu!!! dah kudadadadeki!!! kwa staili hiyo itakuwa ngumu sana ku stick na mwanamke mmoja. make hilo guu lilivyotaiti hapa nilipo kwisha kazi kabisa. lazima ntie time TA mie

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2009

    makampuni ya simu mnatakiwa kufadhili vitu vya kuleta maendeleo k.m elimu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2009

    dah ebwanaee, kweli mdau hapo juu umeongea. Wadai hebu angalieni mapaja ya huyo mtoto mwenye kiblaa chekundu dah!!! ama kweli watabaki vichaa tu tena wale wa muhimbili basi. hapo lazima mwanangumwenyewe usiku uuone mfupi!!!! bro michu si ungekuwa unawekaga na mawasiliano mwana!
    mac

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 02, 2009

    vipi rangi za magoti,drill kali nini?wanatembelea magoti nini wakati mwingine?
    Naomba ufafanuzi pse.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 02, 2009

    yeah mkuu usilaumu voda wanajitangaza kupitia kwenye vitu vinavyowavutia idadi kubwa ya watu mfano mashindano ya urembo & Michezo,ile kusema tu voda walidhamini mh! hawatumii msuli watu watapeana taarifa na business ndio inaendelea hivyo, ila hata hivyo juzi juzi walitoa computer kwa mashule kadhaa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 02, 2009

    WAZUNGU, WARABU NA WAHINDI NEED NOT APPLY FOR BEAUTY QUEEN CONTEST AS QUEEN NEEDS TO BE AFRCAN RACE WITH BANTU NAME ONLY...PREETY SAD SITUATION

    ReplyDelete
  8. nisingependa makampuni na vilevi kifadhili hayo mashindano, ni kutangaza uasherati na ulevi kwa vijana wetu, ukiangalia nchi zilizoendelea hakuna ukinga wa kutafuta mamiss! maendeleo tu na kufanya kazi kwa bidiiiiiiiiii. yaani Tz kila gazeti unalolisoma its about mamiss! nothing else! ndiyo maana tuko nyuma still kamaendeleo coz starehe mbele!!!!!!!!!!!!!


    Lucy UK.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 02, 2009

    hapo wanawapromote mabinti kwa mapedeshee, mnawatafutia watoto wa watu vifo kama mnavyofanya kwa wanenguaji wa bendi maana huku hali ni mbaya mabinti wanateketea....

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 02, 2009

    Ndio maana sisi tunapigania dunia nzima iendeshwe kwa sheria za kiislam. Huko Uingereza tayari wameanza kulielewa hilo, sasa wameanza na hotline kama unaswali lolote kuhusu uislam unapata jibu then who knows.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 02, 2009

    Tanzania tutaendelea lini kama bado kuna watu kama huyu mchangiaji wa June 02, 2009 4:49 AM.

    takriban nchi zote duniani watu wanaungana kupinga ubaguzi lakini bado watanzania tuna fikira zile zile za kikoloni.

    Mtu akishakuwa rai wa nchi kwa kuzaliwa au kwa kuomba anakuwa na haki sawa na raia wengine.

    Ni ajabu na aibu kuona kuwa wakati nchi nyingi watu wa asili mbali mbali waliopata uraia wanapata nafasi za kuwakilisha nchi katika fani mbali mbali kama siasa, mpira, basket ball, riadha n.k. sisi bado tunawatu na kasumba za kikoloni.

    hebu fikiria ingelikuwaje kama watu wamerekani wangelipiga kelele kuwa mtu mweusi kwao ni afrika kwa hivyo asigombanie urai wa usa?

    watu kama wewe anonymous wa June 02, 2009 4:49 AM mnanipa kichefu chefu.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 02, 2009

    hivi nyinyi mnaosifia hivo viguu hamjawahi kuona miguu miguu enhe? miguu gani hiyo membamba kama fimbo ya kupopolea embe!!!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 03, 2009

    anoni wa 8:30 acha utani wewe! huoni paja lilivyo taiti lile mwanawane?? au wewe unataka yale maguu maguu mnakuubwa hata kuyageuza unashidwa?? angalia paja za mtoto huyo!! duh!! ama kweli!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...