Juu na chini ni washiriki wa shindano la Miss Tanga vodacom 2009 wakiwa katika mazoezi makali.
WASHIRIKI wa shindano la Vodacom Miss Tanga 2009, wako katika tizi kali kufuatia mchuano mkali utakaofanyika Jumamosi hii ya tarehe 6 juni mwaka huu katika uwanja wa mpira wa Mkwakwani mjini Tanga.
Mazoezi hayo yanaendelea katika ukumbi wa Splended mjini hapo ukiwa na warembo zaidi ya ishirini.
Miss Tanga 2009 Nadia Ahmed, Oliva Mango na Miss Tanga 2007, Miss Kanda ya Kaskazini na balozi wa redds 2007 Victoria Martin ni miongoni mwa walimu watoao mbinu mbalimbali za kuupatia mkoa huo ushindi.
Warembo walio kwenye kambi ya Miss Tanga 2009 ni Shumu Hamad,Quen Paul,Irene Mahatane,Alice Marcus,Glory Chuwa,Joyce Joseph na Latifa Justine.
Wengine wanaojinoa katika kambi hiyo tayarai kwa shindano hilo ni Neema Mbuya,Monica John,Rachel Mlaki,Lina Lucas,Salma Halid,Christina Michael,Ramla Hassan na Agnes Sambo.
Kwa mujibu wa maelezo ya Mkurugezni wa Five Brothres Enterteinment, Nassor Makau ni kuwa maandalizi ya shindano hilo yapo kwenye hatua za mwisho na kwamba mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Said Kalembo.
Shindano hilo limedhamini wa na Redds Premium cold,Vodacom, vayle spring, events lights, sd supermarket, darworth, afrique restaurant, regalnaivera hotel, hotel kolaprieto, crdb bank tanga branch, tanga fresh, amani drinking water na karata classic.


This will be a great show. asmah I am s sorry Iam going to miss the show, Balozi Victoria 2007 and 2008,you and Hellen most of all. Have a great show and may I please have a DVD of the show?
ReplyDeleteDuh!! huyo mwenye kiblauzi chenye rangi tofauti na wenzie huo mguu!!! dah kudadadadeki!!! kwa staili hiyo itakuwa ngumu sana ku stick na mwanamke mmoja. make hilo guu lilivyotaiti hapa nilipo kwisha kazi kabisa. lazima ntie time TA mie
ReplyDeletemakampuni ya simu mnatakiwa kufadhili vitu vya kuleta maendeleo k.m elimu.
ReplyDeletedah ebwanaee, kweli mdau hapo juu umeongea. Wadai hebu angalieni mapaja ya huyo mtoto mwenye kiblaa chekundu dah!!! ama kweli watabaki vichaa tu tena wale wa muhimbili basi. hapo lazima mwanangumwenyewe usiku uuone mfupi!!!! bro michu si ungekuwa unawekaga na mawasiliano mwana!
ReplyDeletemac
vipi rangi za magoti,drill kali nini?wanatembelea magoti nini wakati mwingine?
ReplyDeleteNaomba ufafanuzi pse.
yeah mkuu usilaumu voda wanajitangaza kupitia kwenye vitu vinavyowavutia idadi kubwa ya watu mfano mashindano ya urembo & Michezo,ile kusema tu voda walidhamini mh! hawatumii msuli watu watapeana taarifa na business ndio inaendelea hivyo, ila hata hivyo juzi juzi walitoa computer kwa mashule kadhaa.
ReplyDeleteWAZUNGU, WARABU NA WAHINDI NEED NOT APPLY FOR BEAUTY QUEEN CONTEST AS QUEEN NEEDS TO BE AFRCAN RACE WITH BANTU NAME ONLY...PREETY SAD SITUATION
ReplyDeleteama kweli bongo tambarare
ReplyDeletenisingependa makampuni na vilevi kifadhili hayo mashindano, ni kutangaza uasherati na ulevi kwa vijana wetu, ukiangalia nchi zilizoendelea hakuna ukinga wa kutafuta mamiss! maendeleo tu na kufanya kazi kwa bidiiiiiiiiii. yaani Tz kila gazeti unalolisoma its about mamiss! nothing else! ndiyo maana tuko nyuma still kamaendeleo coz starehe mbele!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteLucy UK.
hapo wanawapromote mabinti kwa mapedeshee, mnawatafutia watoto wa watu vifo kama mnavyofanya kwa wanenguaji wa bendi maana huku hali ni mbaya mabinti wanateketea....
ReplyDeleteNdio maana sisi tunapigania dunia nzima iendeshwe kwa sheria za kiislam. Huko Uingereza tayari wameanza kulielewa hilo, sasa wameanza na hotline kama unaswali lolote kuhusu uislam unapata jibu then who knows.
ReplyDeleteTanzania tutaendelea lini kama bado kuna watu kama huyu mchangiaji wa June 02, 2009 4:49 AM.
ReplyDeletetakriban nchi zote duniani watu wanaungana kupinga ubaguzi lakini bado watanzania tuna fikira zile zile za kikoloni.
Mtu akishakuwa rai wa nchi kwa kuzaliwa au kwa kuomba anakuwa na haki sawa na raia wengine.
Ni ajabu na aibu kuona kuwa wakati nchi nyingi watu wa asili mbali mbali waliopata uraia wanapata nafasi za kuwakilisha nchi katika fani mbali mbali kama siasa, mpira, basket ball, riadha n.k. sisi bado tunawatu na kasumba za kikoloni.
hebu fikiria ingelikuwaje kama watu wamerekani wangelipiga kelele kuwa mtu mweusi kwao ni afrika kwa hivyo asigombanie urai wa usa?
watu kama wewe anonymous wa June 02, 2009 4:49 AM mnanipa kichefu chefu.
hivi nyinyi mnaosifia hivo viguu hamjawahi kuona miguu miguu enhe? miguu gani hiyo membamba kama fimbo ya kupopolea embe!!!!
ReplyDeleteanoni wa 8:30 acha utani wewe! huoni paja lilivyo taiti lile mwanawane?? au wewe unataka yale maguu maguu mnakuubwa hata kuyageuza unashidwa?? angalia paja za mtoto huyo!! duh!! ama kweli!
ReplyDelete