Meneja wa Safari Lager, Fimbo Butallah, akizindua mashindano ya Kitaifa ya Mchezo wa Pool katika ukumbi wa Makumbusho jijini Dar leo. Hapa akionekana akifungua mashindano hayo kwa kushindana na mwakilishi wa timu za pool za wanawake, Maimartha wa Jesse, mtangazaji wa kipindi cha Afro Beat wa EATV ambacho hudhaminiwa na Safari Lager
Fimbo Butallah (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi rasmi wa mashindano ya Pool Kitaifa uzinduzi uliofanyika Makumbusho Village jijini Dar leo. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa chapa cha Pool nchini (TAPA), Isaack Togocho na shoto kwake ni katibu mkuu wa chama hicho, Amos Kafwinga.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Al MusomaJune 29, 2009

    An interesting combination of names. I can understand Butallah, but the choice of Fimbo really intrigues me.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...