Millvina Dean afariki dunia, huyu ni mhanga wa wa mwisho kufariki kati ya wahanga waliosalimika katika ajali ya Meli ya Titanic iliyotokea mnamo 15 April 1912.
Mdau Kipatimu Kilwa.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
amekula chumvi sana
ReplyDeleteInamaana alikua na umri wa miezi minne au less ajali ilipotokea.?
ReplyDeletesidhani kama ana kumbukumbu yeyote kuhusiana na tukio.
wewe hapo juu 100:0am huyu kipind hicho alikuwa infant kwa kifupi naye alidithiwa na jamaa zake lakini madam kwenye tukio aliopolewa ndio chanzo cha kusema hivyo ungana na hiyo link upate maelezo sahihi kaka ni hayo tu
ReplyDeleteMkuu wa Wilaya ya Nanihii..... Huyo Bibi ni Manusura (aliyenusurika). Wahanga ni wale wanaojitolea muhanga. Hata kule Mbagala watu walikuwa wanasema wahanga wa Mabomu lakini tunasahihishwa kuwa wale ni manusura. Sijui kipi ni kipi! kwa wengine kiswahili tumejifunzia shule. ni lugha ya pili.
ReplyDeleteyanatuhusu nini???
ReplyDeletemie napenda tuu kusema ya kuwa, nashukuru tuna MICHUZI BLOG ambayo inarusha habari za maana na za uhakika za dunia nzima. sio kama ile ya ZE UTAMU ambayo ilikuwa ikiwa zalilisha wananchi, pamoja na kwamba baadhi ya habari walizokuwa wakitoa za SERIKALINI ni za kweli, ikiwamo na barua za siri za ndani ya serikali mnakumbuka ile barua ya waziri Lawrence Masha. Ambayo ni wazi hawa walikuwa na uhusiano wa karibu na watu wa ndani ya serikali, kwani wangepataje habari na barua kama zile? mambo mengine ni ya upuuzi tu ambayo hatuna haja ya kuyajua kwani yalikuwa hayaleti manufaa yeyote katika jamii yetu, mafano mwezi April walitoa habari za jamaa wa UK aitwaye KASSIM KALLING alipokuwa arrested kwa kufanya dodgy businesses, na kuwa ni mlea watoto tu hana kazi, pamoja na story ya MAILANIE BATIHO BUZWILILI aka PITCHI, kwa kumponza rafikiye na udokozi wa marks and spencer, wakati alijifungua alikuwa akienda woodgreen na kupata shoppingi ya nguvu bila kulipa, na kwamba familia yao wana mkosi kwani waume zao wote walikuwa na biashara nzuri na mapesa, ila punde baada ya kuoa kwenye familia hii wanaume wao wote hawana kazi ya maana na wamedidimia kipesa, hata huyu wa hapa B.O.T pia mumewe ni hivyo hivyo ilieleza ZEUTAMU. sasa jamani YOTE HAYA NA MENGINEYO HAYAHUSU KUJENGA UCHUMI WETU. Natumaini kuwa watawapata wamiliki wa blog ile. NA WOTE MNAOTARAJIA KUFUNGUA BLOG, JAMANI OMBENI MPEWE SOMO NA MICHUZI, SIO MNAJIFUNGULIA TUU, KWA NIA YA UPUUZI. MICHUZI NI PROFFESSIONAL JOURNALIST, ANAYEHESHIMIKA, KAMA MNAVYOONA HABARI ANAZOLETA NA PICHA NI ZA UHAKIKA NA ZINA-COVER DUNIA NZIMA. naomba muombe awape mawaidha na hata KUWAPA TRAINING, MAANA NAJUA WAZI UWEZO HUU ANAO.
ReplyDeleteKEEP UP THE GOOD WORK, MICHUZI.
Alikuwa na wiki Tisa tu tangu azaliwe wakati ajali inatokea. Baba yake alifariki katika ajali hiyo. Wakati ule waingereza walikuwa na ile busara ya ''lady's first''. wakati abiria wa meli walipokuwa wakiokolewa na kuingizwa kwenye zile boat za kuokolea maisha ''lifeboats'', kapteni wa meli aliamrisha kuwa wanawake na watoto ndio waanze kuingia kwenye boats zile za kuokolea maisha. hapo ndipo haswa huyu bibi wakati huo akiwa kichanga wa wiki 9 tu alipopata nafasi yeye na mama yake kuingia kwenye boat. boti zilikuwa hazitoshi kwa hiyo zilipoisha basi wale waliokuwa wamebaki wooote walikufa na maji akiwemo baba mzazi wa huyu bibi. ukumbuke wengi wa waliokufa ni wanaume sababu ya ile ''ladies n' children first''.
ReplyDeleteUkisoma story ya hiyo ajali ni ndefu na inasisimua sana. Inasemeka waingereza wakati huo walikuwa ni watu waastarabu sana pengine kuliko wote. sasa mle melini kuliwa na wamarekani pia wao hawakuwa wastaarabu. wakati wa kugombania kuingia kwenye lifeboats kapteni wa meli alikuwa akisisitiza ''be british be british boys!!!'' waingereza kwa ustaarabu wao walipanga foreni kama kawaida yao, lakini wamarekani hawakutaka makunyanzi wao na hawakuwa na muda wa kupanga foreni wao walifight na kuingia kwenye boats kwa wingi, inasadikiwa kuwa hiyo ndio sababu ya waingereza kufa wengi zaidi kuliko wamareka katika ajali ile!! huyo bibi alikuja kusimuliwa tu akiwa na miaka 9!! lakini alipata kuwa mtu maarufu UK na alikuwa kivutio hata cha watalii na watu ambao huwa hawaamini kama kweli kitu titanic iliwahi kuwepo au ni stories tu.
Nenda wikipedia utapata simulizi nzuri sana yani full mkanda wa titanic accident chanzo na mauzauza yote. inavutia na kusisimua kwa kweli.
Macmuga
Tatizo sio kukumbuka ni Rekodi zao wanaweka Pengine alikuwa mtoto Mzazi wake aliokoka naye wanaandika mwanangu jina fulani wa fulani inawekwa kwenye kitabu. MV bukoba sijui kama waliandikisha majina ya watoto? michuzi itabidi uchunguze. na mbona hatukumbuki siku za MV bukoba au Train zile?. Jumbe.
ReplyDeleteand why is this relevant to us then ?
ReplyDeleteAt least ingekuwa MV Bukoba ingekuwa more relevant.
Hope there is any records of that at all !
Kweli British zamani walikuwa watu waliosoma na wastaarabu. Ila sio sasahivi sio British tena watoto wak iengereza wamekuwa wabishi hawasomi bora hata nchi yetu unaweza kusema mbele itakuwa na maendeleo British ndio basi tena wasubiri Vita, tuone watu watavyorudi kwao Tanzania. Titanic ndio nini? Kanumba mungu akipenda subiri Miaka mitatu ukiwa hai Toa Filamu ya MV Bukoba. Ili tujue tukio na siri zengine. au fanyeni Documentary ya Mv Bukoba. Seif.
ReplyDeletehuyu kikongwe juzi juzi tu alipigiwa harambee na wahusika wa ile sinema ya Titanic ili kusaidia kulipa deni la nyumba ya kuhudumia wakongwe.mungu mkubwa,hadaiwi na mtu.
ReplyDeleteAnony 12:29
ReplyDeleteNi Professional sio Proffessinal
huyo bibi alikuwa na miaka 20 au chini kidogo meli ilipozama,ukitazama sinema yake ndio utaelewa alikuwa msichana wa familia ya kitajiri,sasa atakuwa ana miaka 100 na zaidi,watu msionge tu kama hamjui ana umuhimu gani huyo ni shujaa kwa wakati huo
ReplyDeleteAnon waTarehe June 01, 2009 8:12 PM
ReplyDeleteWEWE NDIO USIONGEE KAMA HUJUI KILICHO ANDIKWA HAPO, UNAYESEMA WEWE MWENGINE KABISA AMBAYE NDIO WAMEFANYA MOVIE YA STORI YAKE. HUYU BIBI KAZALIWA FEB 1912.
HAWEZI KUWA NA UMRI WA MIAKA 20 WAKATI HUO, HUYU ALIKUWA KATIKA WALIOOKOKA WACHANGA.
AJALI ILITOKEA APRIL 15 hapo ukisoma kwahiyo alikuwa na Miezi tu MIWILI.
Jamani ya MV BUKOBA TUWEKEENI PIC.
Anony 12:29.
ReplyDeleteHongera kwa mawazo yako finyu. Ulichoandika hakina mtiririko naona ulikimbia uchambuaji wa vitabu kama vile Shida, Ngoswe na vinginevyo. Issue yako ni irrelevant na Titanic na Ujumbe uliofikisha ni kuisifia hiyo blog kwamba may be ina watu wa serikali.
Kila la kheri.
anoni wa 8:12 u,esoma hadi darasa la ngapi??? ni mashaka nawewe inawezekana kabisa kuwa ulikimbia umande wewe!! si kawaida!!! unajua kusoma lakini?? kama unajua kusoma basi hebu chukua muda kidogo upitie hiyo linki uliyopewa na michuzi chini yz picha!!! usituletee mambo ya sinema hapa!!! yani unawa kisinemasinema tu!!!!
ReplyDeleteje mnajua kwamba ajali ya meli ya TITANIC ilikuwa planned itokee na freemasons?.Kama ujui soma kitabu kinaitwa 'the secret terrorist'
ReplyDeleteweee annon 3.10am koma tena uishie apo wee hater kazi kumpenda-penda MASHAKA tu,anahusiana nini na ili dubwana??nyambafu
ReplyDeletena wee 8.59am secret terrorist gani,freemasons ndo nini??usilete paukwa pakawa apa
ni hayo tu
anoni wa 1:41 PM si ungekubali yaishe tu?? we huoni jinsi ulivyochemka pale juu?? ulikurupuka tu ukarukia ishu hata bila kuijua!! wenzio wanaongea reality wewe unaleta za kisinemasinema!!! ndo maana wamekuuliza umesoma lakini?? umefikia darasa la nagapi!! manake bro michuzi amekupa linki pale chini kuifuatilia hutaki ukabakia kuchemka na sinema zako!! wakati watu wanasoma vitabu na majarida kujua uhalisia wa dunia wewe unajitanua kwenye sofa ukiangalia sinema halafu unakuja ku-argue kwa kutumia ulichokiona kwenye sinema!!!
ReplyDeletehalafu hata michuzi mwenyewe ulimfanya hajui ameposti nini??
acha wakushambulie wanakuelimisha na kukupanua mawazo.
ni hayo tu!
ahsante
Juma Ndachao