Home
Unlabelled
millen magesa na flaviana matata moto mkali sauzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
thank bro michuzi kutuletea picha ya hao mamodo wetu. Nawatakia kila la kheri na mafanikio mema. Naomba tu waendelee kuwa natural wasibadili ngozi zao.
ReplyDeletewatoto wanapendeza, maana ndio business zenyewe hizo. Kama kuna jambo la maendeleo, hili lapaswa kupewa kipau mbele.
ReplyDeletemkuu vipi huko sauz totozzz zipojepoje kitabia?? na vipi hali ya ngwengwe huko?? make nasikia huko katika binadamu 10, 8 wana ngwengwe, hebu nipashe mwana manake nimepata totozz la kizuru facebook liko bomba kinoma kifuani saa sita mguu chupa ya tusker mapokezi ndo balaa zaidi na limeshakolea ile mbaya sasa tumezoeana muda sasa na kurekebishana humohumo facebook sasa linataka kwa gharama zake liniibukie hapa UK ninapoishi. kwakifupi limeshakuwa li-mygirlfriend langu la facebook. body kwa body hatujawahi kukutana zaidi ya kupagawishana kwa pichazzz na lugha tamutamu ndani ya facebook, sasa ndo linashupalia kuja kwa mwezi mzima hapa kwangu, sasa mwanawane mwezi mzima si ipo siku ile mipira ya kinga nitaiweka kando mwanawane ha'fu ndo itakuwa ajali kazini kama limeshaumia?
ReplyDeletehebu nitonye hali ikoje huko kabla sijaingia kazini hivi punde mkuu!
najua waosha vinywa hamtanikawiza lakini mwenzenu ndo hivyo toto kalii la kizuru limeniganda ya kufa mtu ha'fu liko 19yrs odi.
weweee annon na toto lako la facebook!!
ReplyDeleteata akiwa na 19yrs ndo nini??saa 6 sijui guu la tusker,zikivulugwa na ajali?una matatizo na ukimwi uupate tu itakua by-the-way ajali kazini,usiweke giza umu!!nyamafu
jaman nataka nijue Millen Magesa ndo nani tena,mbona sijawai sikia ilo jina bongo?
asante
Kila la heri na fanaka kwako Flaviana na Millen.
ReplyDeletewee kaka wa mzungu.na "saa sita "kichwa chwako hata kama yuko 10yrs anaweza kuwa kaadhirika kwa nini usi ende kufanya check up its free with NHS,nadhani hata huyo "saa sita" wako atakuheshimu zaidi kichwa chako
ReplyDeleteMdau hapo juu Milen Magesa ni Happyness Magesa aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya nyuma.
ReplyDeleteAmeamua kubadilisha jina na kujiita Milen badala ya Happyness Magesa.
anon wa June 15, 2009 1:44 AM umeniacha hoi hahaha komaa nae tu mwanawane ngwengwe kitu gani..
ReplyDeleteHAWA WANASAGANA NINI?!
ReplyDeleteMillen Magese ni Happyness Magese Miss Tanzania mwaka gani ule sijui.kabadilisha jina la mwanzo ukitaka kumjua zaidi search google kwa Happyness Magese or Magesa not sure.She is beautiful.
ReplyDeleteProudly Tanzanians, U ROCK
ReplyDeletemillen magesa ndo nina?
ReplyDeletekeep up the good work girls...
ReplyDeleteMillen Magesa ni Happyness Magesa aliwahi kuwa miss TZ sikumbiki mwaka...
Flavian Matata ni modo ambaye anajulikana kama "original" "what you see is what you get"
ReplyDeletenywele kama vila alizompa mama, sura hajabadili, ndo maana alifanya vizuri katika mashindano aliyoshika nafasi nzuri kama miss world!
sasa huyu millen hizo nywele tena vipi? katani au? anapendeza lakini si lazima uwe na nywele ndefu ndio upendeze.
P.E.D
asante annon kunijulisha millen=happyness
ReplyDeleteya nini kubadili jina ulopewa na wazazi??khaaaaa
jina millen haliendani kabisa nae too much "uzungu-ukoloni"
why mtu usiridhike na jina lako na tena mtu asikutukane ati badili jina,mbona wao hawabadili??!!
jina ni jinatu haligombi ndugu anon wa hapo juu,ilimradi unalifurahia wewe mambo mengine sijui la kizungu ,kinya mwezi au la kimasai sio taabu.ukijiita:
ReplyDelete-ROBINSON SMITH
-aboubakar akhamed majeed
-rajeev kumar mahendra
-shimidt coohen
-KUKU WA ZABANGA MOBBUTU SESESEKO(R.I.P)
-KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
-GOGOMOKA MISALABA
-maduta mtembeli
-UKIWAONA DITOPILE MZUZULI(RIP)
-NYUNDO KICHECHE CHEGEFU
-mwinyipembe kawajika
-SADIKI MANUMBU MAGAMBO=saddyke manoumb magamboy
-ISSA MICHUZI
- UNKARAGASI UNKARAGAIRE RWEGASHOBORORA.
-NYATI MBAWALA NGURUWE NDUNGURU.
-NYAMHANGA MANG'ITI MATINYI NYAMLYAIKUNG'AI
-furaha mavuno=happyness magesa
-gezaulole kalikumtima
-hisakaru nakamura
-majiyamekwisha kumayamamoto
-yang seu ting
-mwanakwerekwe lulabuka
-sergei gromovich zeryanov
-mwaipopo mwakalindile mwakitwange
-olekulet leng'oidog't lekamoi
-herieri munguapenda
-odhiambo odoyo odongo.
Kubadili jina kunaendana na kazi yake ya umodo, kuna majina mengine huwezi kufika mbali ni wasanii wengi sana wanabadilisha majina ili waweze kufanikiwa kimataifa , hata agency hazikuchukui ukiwa na jina linalofanana na mzizi ,happyness will never make it kwenye umodo , ameangalia future yake sio yako , nampongeza kwa hilo, wewe bakia tuu na hilo jina lako la KUNTAKINTE, wenzako wanapasua kwa kwenda mbele , karibu New York dada
ReplyDeletewe na hilo litoto lako la sauzi, utakufa, maana inavyoonekana na wewe una tamaa, watu kama nyie uarabuni mnanyongwa tu!!
ReplyDeleteits
Prinsesah
WATANZANIA FUMBUENI MACHO NA MTOKE KWENYE GIZA ZITO! KUNA MAENDELEO KIBAO MUHIM YA KUFANYA LAKINI SIO KUTUTEMBEZEA WATOTO WETU NA DADA ZETU UCHI! HAKUNA FAIDA YOYOTE ILA NI HASARA TU AMBAYO ITAENDELEA KURITHISHWA KATIKA YAMII YA KITANZANIA, MWISHO WAKE NI MARADHI, WATOTO WA KIKE KUKOSA ADABU NA KUSHINDWA KUHESHIMIANA KATIKA JAMII MZIMA YA KITANZANIA!
ReplyDeleteMDAU PONDA WA BHX
nyie maanons
ReplyDeletejina sio ndo utafanikiwa kimaisha kiivo
mafanikio ni juhudi ya mtu na mwenyezi akisaidia
uo ni ulimbukeni na ujinga wa kikoloni
watu kibao wamefanikiwa na majina yao ya asili tu