millen magesa na flaviana matata wakidumisha umoja katika kazi zao hapa sauzi. wakati flaviana keshaongeza mkataba mpya wa miaka miwili ya umodo, millen anaelekea new york marekani ambako amepata mkataba mnono wa miaka mitatu huko. anaanza kazi julai 1, 2009
millen akifanya mazoezi ya umodo leo sandton
flvaniana akiwa katika tizi leo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2009

    thank bro michuzi kutuletea picha ya hao mamodo wetu. Nawatakia kila la kheri na mafanikio mema. Naomba tu waendelee kuwa natural wasibadili ngozi zao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2009

    watoto wanapendeza, maana ndio business zenyewe hizo. Kama kuna jambo la maendeleo, hili lapaswa kupewa kipau mbele.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2009

    mkuu vipi huko sauz totozzz zipojepoje kitabia?? na vipi hali ya ngwengwe huko?? make nasikia huko katika binadamu 10, 8 wana ngwengwe, hebu nipashe mwana manake nimepata totozz la kizuru facebook liko bomba kinoma kifuani saa sita mguu chupa ya tusker mapokezi ndo balaa zaidi na limeshakolea ile mbaya sasa tumezoeana muda sasa na kurekebishana humohumo facebook sasa linataka kwa gharama zake liniibukie hapa UK ninapoishi. kwakifupi limeshakuwa li-mygirlfriend langu la facebook. body kwa body hatujawahi kukutana zaidi ya kupagawishana kwa pichazzz na lugha tamutamu ndani ya facebook, sasa ndo linashupalia kuja kwa mwezi mzima hapa kwangu, sasa mwanawane mwezi mzima si ipo siku ile mipira ya kinga nitaiweka kando mwanawane ha'fu ndo itakuwa ajali kazini kama limeshaumia?
    hebu nitonye hali ikoje huko kabla sijaingia kazini hivi punde mkuu!
    najua waosha vinywa hamtanikawiza lakini mwenzenu ndo hivyo toto kalii la kizuru limeniganda ya kufa mtu ha'fu liko 19yrs odi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2009

    weweee annon na toto lako la facebook!!

    ata akiwa na 19yrs ndo nini??saa 6 sijui guu la tusker,zikivulugwa na ajali?una matatizo na ukimwi uupate tu itakua by-the-way ajali kazini,usiweke giza umu!!nyamafu

    jaman nataka nijue Millen Magesa ndo nani tena,mbona sijawai sikia ilo jina bongo?

    asante

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2009

    Kila la heri na fanaka kwako Flaviana na Millen.

    ReplyDelete
  6. wee kaka wa mzungu.na "saa sita "kichwa chwako hata kama yuko 10yrs anaweza kuwa kaadhirika kwa nini usi ende kufanya check up its free with NHS,nadhani hata huyo "saa sita" wako atakuheshimu zaidi kichwa chako

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2009

    Mdau hapo juu Milen Magesa ni Happyness Magesa aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya nyuma.
    Ameamua kubadilisha jina na kujiita Milen badala ya Happyness Magesa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2009

    anon wa June 15, 2009 1:44 AM umeniacha hoi hahaha komaa nae tu mwanawane ngwengwe kitu gani..

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2009

    HAWA WANASAGANA NINI?!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2009

    Millen Magese ni Happyness Magese Miss Tanzania mwaka gani ule sijui.kabadilisha jina la mwanzo ukitaka kumjua zaidi search google kwa Happyness Magese or Magesa not sure.She is beautiful.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 16, 2009

    Proudly Tanzanians, U ROCK

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 16, 2009

    millen magesa ndo nina?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 16, 2009

    keep up the good work girls...

    Millen Magesa ni Happyness Magesa aliwahi kuwa miss TZ sikumbiki mwaka...

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 16, 2009

    Flavian Matata ni modo ambaye anajulikana kama "original" "what you see is what you get"

    nywele kama vila alizompa mama, sura hajabadili, ndo maana alifanya vizuri katika mashindano aliyoshika nafasi nzuri kama miss world!

    sasa huyu millen hizo nywele tena vipi? katani au? anapendeza lakini si lazima uwe na nywele ndefu ndio upendeze.

    P.E.D

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 16, 2009

    asante annon kunijulisha millen=happyness

    ya nini kubadili jina ulopewa na wazazi??khaaaaa

    jina millen haliendani kabisa nae too much "uzungu-ukoloni"

    why mtu usiridhike na jina lako na tena mtu asikutukane ati badili jina,mbona wao hawabadili??!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 17, 2009

    jina ni jinatu haligombi ndugu anon wa hapo juu,ilimradi unalifurahia wewe mambo mengine sijui la kizungu ,kinya mwezi au la kimasai sio taabu.ukijiita:
    -ROBINSON SMITH
    -aboubakar akhamed majeed
    -rajeev kumar mahendra
    -shimidt coohen
    -KUKU WA ZABANGA MOBBUTU SESESEKO(R.I.P)
    -KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
    -GOGOMOKA MISALABA
    -maduta mtembeli
    -UKIWAONA DITOPILE MZUZULI(RIP)
    -NYUNDO KICHECHE CHEGEFU
    -mwinyipembe kawajika
    -SADIKI MANUMBU MAGAMBO=saddyke manoumb magamboy
    -ISSA MICHUZI
    - UNKARAGASI UNKARAGAIRE RWEGASHOBORORA.
    -NYATI MBAWALA NGURUWE NDUNGURU.
    -NYAMHANGA MANG'ITI MATINYI NYAMLYAIKUNG'AI
    -furaha mavuno=happyness magesa
    -gezaulole kalikumtima
    -hisakaru nakamura
    -majiyamekwisha kumayamamoto
    -yang seu ting
    -mwanakwerekwe lulabuka
    -sergei gromovich zeryanov
    -mwaipopo mwakalindile mwakitwange
    -olekulet leng'oidog't lekamoi
    -herieri munguapenda
    -odhiambo odoyo odongo.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 17, 2009

    Kubadili jina kunaendana na kazi yake ya umodo, kuna majina mengine huwezi kufika mbali ni wasanii wengi sana wanabadilisha majina ili waweze kufanikiwa kimataifa , hata agency hazikuchukui ukiwa na jina linalofanana na mzizi ,happyness will never make it kwenye umodo , ameangalia future yake sio yako , nampongeza kwa hilo, wewe bakia tuu na hilo jina lako la KUNTAKINTE, wenzako wanapasua kwa kwenda mbele , karibu New York dada

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 17, 2009

    we na hilo litoto lako la sauzi, utakufa, maana inavyoonekana na wewe una tamaa, watu kama nyie uarabuni mnanyongwa tu!!

    its
    Prinsesah

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 17, 2009

    WATANZANIA FUMBUENI MACHO NA MTOKE KWENYE GIZA ZITO! KUNA MAENDELEO KIBAO MUHIM YA KUFANYA LAKINI SIO KUTUTEMBEZEA WATOTO WETU NA DADA ZETU UCHI! HAKUNA FAIDA YOYOTE ILA NI HASARA TU AMBAYO ITAENDELEA KURITHISHWA KATIKA YAMII YA KITANZANIA, MWISHO WAKE NI MARADHI, WATOTO WA KIKE KUKOSA ADABU NA KUSHINDWA KUHESHIMIANA KATIKA JAMII MZIMA YA KITANZANIA!
    MDAU PONDA WA BHX

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 18, 2009

    nyie maanons

    jina sio ndo utafanikiwa kimaisha kiivo

    mafanikio ni juhudi ya mtu na mwenyezi akisaidia

    uo ni ulimbukeni na ujinga wa kikoloni

    watu kibao wamefanikiwa na majina yao ya asili tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...