SEEWEAR STYLE & GAMILY PRODUCTION WANAYO FURAHA KUWALETEA MSANII MPYA WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA "BONGO FLAVA" MAVUMBI. MSANII HUYO ALIONEKANA KWA MARA YA KWANZA KATIKA SHOW YA ALI KIBA ILIYOFANYIKA NAPOLI, APRIL 25, MWAKA HUU.
MSANII MAVUMBI ANAWALETEA WAPENZI WA BONGO FLAVA SINGLE INAYOITWA "JISOGEZE" AMBAYO IMETENGENEZWA KATIKA STUDIO YA NAPOLI ITALY.
KATIKA SINGLE HIYO,MAVUMBI AMEMSHIRIKISHA MSANII ALI KIBA.KWA MUJIBU WA MANAGEMENT YA MSANII MAVUMBI SINGLE HIYO ITAANZA KUSIKIKA KATIKA REDIO STATION ZA EUROPE NA TANZANIA,NA ITAFUATIWA NA VIDEO CLIP AMBAYO IPO KATIKA MATAYARISHO.


mbona studio haina kelele absorbers? namna hiyo nyimbo hazitoki utamu sana, zinakuwa na unwanted foreign noises. kila kitu ni hatua, pole pole tutasogea
ReplyDeleteStudio wasiwasi hiyo, hapa bongo tuna studio babu kubwa zaidi ya hiyo,Njoo mwenyewe ujionee,Mdau Jiji la maraha Dar es salaam.
ReplyDeleteStudio Marekani...agggg acheni utani
ReplyDeleteStudie Majuu makubw ahahahhahahah nyumbani kwa mtu ana ka mixer na ka mic anadanganya watu studio ili?Anaubavu kuingia studio Ughaibuni???Ali Kiba rudi nyumba urekodi wanakudhalilisha sasa chumbani kwa mtu mnaita studio yote hiyo uonekane umerekodi ughaibuni????????????????
ReplyDeletekrs
Pitt,USA
MAMAAAA???CHINGA KACHOKA KUBEBA MABOX KAAMUA KUWA MWANAMUZIKI????
ReplyDeleteIli mradi waseme CD hii ilirekodiwa marekani. MhhHHHHHHH
ReplyDeleteWatanzani mliotoa maoni yuu yangu,acheni wivu, acheni kuongea negative.sijui studio nini,sijui mbaya,bla bla bla. kwanini msiwe positive? mpeni basi nyie studio ambayo mnaona inafaa na bomba. be positive,jiangalieni wenyewe,nyie mnafanya nini katika maswaala ya muziki?je,mna studio bomba zaidi ya hiyo?muiteni basi kwenye hizo studio zenu alipie kurecord.
ReplyDeleteGuys, be positive on other's citizens achievements. Wivu muache.