MAMA YETU NA MWALIMU WETU MPENDWA FRIDA MTUNGUJA AMBAYE ALIKUWA ANAFUNDISHA SHULE YA MSINGI CHUMBAGENI TANGA AMEFARIKI JANA TAREHE 16/06/2009 SAA 22:46:12 KATIKA HOSPITALI YA BOMBO BAADA YA KUUGUA MARADHI YA HOMA YA MANJANO.
MSIBA UTAKUWEPO NYUMBANI KWAKE KISOSORA TANGA NA MPANGO YA MAZISHI INAFANYWA NA NDUGU NA JAMAA KWA WALE WANAOGUSWA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE HASA WANAFUNZI WA CHUMBAGENI AMBAPO MAREHEMU ALIKUWA ANAWAFUNDISHA TUNAWAPA POLE SANA.
KUHUSU MICHANGO YENU INAWEZA KUTUFIKIA HAPA NYUMBANI AU HAPO SHULE YA MSINGI CHUMBAGENI TANGA.
UKIWA KAMA NDUGU, RAFIKI AU JIRANI UNAOMBWA KUFIKA KATIKA MSIBA HUU WA MAMA YETU /MWALIMU WETU MPENDWA.
KWA MAWASILIANO YA KUTUMA MICHANGO YAKO PIGA NAMBA HII +255717062827
NI YA MWANAE ANAITWA MICHAEL KUZIWA
( HUYU ANAFUNDISHA KULE PANGANI TANGA.)
Poleni sana kwa msiba mzito wafiwa. Ni masikitiko makubwa kwa ndugu, jamaa, marafiri, majirani, watu wote walomjua Mwalimu Mtunguja, pamoja na wanafunzi wote waliosoma na wanaosama shule ya msingi Chumbageni.Sisi tulimpenda dada/mama yetu, lakini Mungu alimpenda zaidi.Tunamwomba Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi. Amen.
ReplyDeleteJirani (Mangi family) shule ya Msingi Chumbageni