Lucas Mkenda ' Joti' wa kundi la Orijinol Komedi akionyesha staili ya miondoko ya kijoti joti wakati wa tamasha la uzinduzi wa albamu ya nyimbo ya dini ya kwanya ya Haleluya ya kanisa la EAGT Morogoro katika uwanja wa jamhuri mjini Morogoro wikiendi hii

Siyo siri hawa vijana wa ze komedi wamepoteza umaarufu sana baada ya "kununuliwa " na mafisadi.sijiskii vizuri kuwatazama nikijua kuwa hela wanayolipwa ni ya wizi.kibaya zaidi ni kule kuende;ea kwao kujifanya mabibi aaaggghhh!!!
ReplyDeleteKama wanapokea ushauri hawa vijana, nawashauri waachane na hili jambo la kuvaa nguo za kike, kujiremba kama wanawake n.k. Sidhani kama hio inachangia chochote katika kuchekesha zaidi inakwaza watu.
ReplyDeleteMhh michuzi huyu aliyepiga picha hasa hizo za kwaya anahitaji darasa.Asante sana kwa darasa ulilonipatia Dc, muda si mrefu nitaanzisha libeneke langu.Mdau wa Houston mpenda picha.
ReplyDeleteWatoa Comment muwe mnafanya masahihisho kabla ya kurusha kwa wasomaji wengine. makosa ni mengi sana munaharaka gani? Andikeni, halafu irudie kuisoma tena mwenyewe sawa wajameni?
ReplyDeleteWatoa Comment muwe mnafanya masahihisho kabla ya kurusha kwa wasomaji wengine. makosa ni mengi sana munaharaka gani? Andikeni, halafu irudie kuisoma tena mwenyewe sawa wajameni?
ReplyDeleteHivi huyo Joti anaitwa Lucas Mkenda ama Lucas Mhuvile?
ReplyDeletemisupu unabania comment zetu zinazowakosoa hawa jamaa powa tu,ila nasema wananiboa wanavyowakandia wenzao waliokwama kimaisha wakijiona wao wamefika kileleni.mungu ndio anajuwa hatma ya kila binadamu leo tajiri kesho masikini,au leo masikini kesho tajiri.waache tabia hiyo watafute ucheshi wa aina nyingine.
ReplyDeleteChuraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteKuigiza sio lazima mjifanye wanawake. Hampendezi kabisa!!!!!!!!
ReplyDelete