

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Siyo siri hawa vijana wa ze komedi wamepoteza umaarufu sana baada ya "kununuliwa " na mafisadi.sijiskii vizuri kuwatazama nikijua kuwa hela wanayolipwa ni ya wizi.kibaya zaidi ni kule kuende;ea kwao kujifanya mabibi aaaggghhh!!!
ReplyDeleteKama wanapokea ushauri hawa vijana, nawashauri waachane na hili jambo la kuvaa nguo za kike, kujiremba kama wanawake n.k. Sidhani kama hio inachangia chochote katika kuchekesha zaidi inakwaza watu.
ReplyDeleteMhh michuzi huyu aliyepiga picha hasa hizo za kwaya anahitaji darasa.Asante sana kwa darasa ulilonipatia Dc, muda si mrefu nitaanzisha libeneke langu.Mdau wa Houston mpenda picha.
ReplyDeleteWatoa Comment muwe mnafanya masahihisho kabla ya kurusha kwa wasomaji wengine. makosa ni mengi sana munaharaka gani? Andikeni, halafu irudie kuisoma tena mwenyewe sawa wajameni?
ReplyDeleteWatoa Comment muwe mnafanya masahihisho kabla ya kurusha kwa wasomaji wengine. makosa ni mengi sana munaharaka gani? Andikeni, halafu irudie kuisoma tena mwenyewe sawa wajameni?
ReplyDeleteHivi huyo Joti anaitwa Lucas Mkenda ama Lucas Mhuvile?
ReplyDeletemisupu unabania comment zetu zinazowakosoa hawa jamaa powa tu,ila nasema wananiboa wanavyowakandia wenzao waliokwama kimaisha wakijiona wao wamefika kileleni.mungu ndio anajuwa hatma ya kila binadamu leo tajiri kesho masikini,au leo masikini kesho tajiri.waache tabia hiyo watafute ucheshi wa aina nyingine.
ReplyDeleteChuraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteKuigiza sio lazima mjifanye wanawake. Hampendezi kabisa!!!!!!!!
ReplyDelete